King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
FyatuWewe ndo pumbavu zaidi.Huna jambo la maana unalowaza zaidi ya kupanua miguu.shwain
Ata kama ingekua inatumika elfu 2000,kujenga kinyago kwa ajili ya sababu iliyotolewa ni ujinga na matumizi mabovu ya fedha tena wakati huu tunaolalamika uchumi wa nchi hauko sawa.Sijui ni kwa nini inapotoshwa habari hii. Sababu kiasi kinachotajwa ni gharama itakayotumiwa kutekeleza mambo manne. Ujenzi na ukarabati wa kumbi tatu na ujenzi wa Sanamu. Fedha hii si ya kutoka hazina bali udhamini wa NBC kwa TANTRADE kama wafadhiri na ndio maana ya kusainiwa MoU trh 5/7/2021
Kuonyesha M420 zinatumika kutengeneza sanamu pekee ni upotoshaji.
Wewe mna.. Magufuli kajenga vituo vya avya vingi kuliko awamu zote. So zahanati serkali inaendelea kujenga. Kaa kimya mna...Hii ndio n nchi yangu bana
Wanakijiji cha LIANGWENI songea vijijini hawana hata zahanati toka nchi ipate uhuru na zinahtajika milioni 120 tu kumalizia jengo lao na vifaa mwaka wa tano Sasa hakuna msaada
Lakn sanamu lisilo na tija linajengwa kwa milion 450
Ni middle finger au naona vibaya πππππππ
unanisingizia ujue hebu Vaa miwani uone vizuri!Ni middle finger au naona vibaya π
Labda nikuulize, unajua katiba ni nini? Kazi ya katiba Je??Katiba ipya itawakataza NBC kufadhili ujenzi wa sanamu?
Hivi kumbe nyinyi kweli ni malofa n a wapumbavu, Unataka kutuambia uhuru wa kweli ni nyumbu kutawala? Unashinda hapa unatukana unasema hauna uhuru? Unataka nini wewe kima?Tutaiporomosha chini siku tukipata uhuru wa kweli. Hiyo ilipata kutokea kule Iraq. Masanamu ya Saddam Hussein yalivunjwa yote.
Huku sumbawanga tunakwenda kuijtibia zambia, hii ni haki kweli serekali ituone huku.Mtafute Jenista Mhagama umueleze kadhia hiyo
Katiba hii iliyopo ilikanyagwa,hata mpya ikimpata wa hovyo ataikanyaga tu,Tumpe mama subira tumwombee aisimamie hii iliyopo mbona sio mbaya sana.Ndio maana tunasema tunataka katiba MPYA!!
Magufuli katusababishia hasara kubwa ktk nchi hii, kaiba sana, kanyanyasa sana raia wa nchi hii na ujinga mwingine mwingi kafanya,
Kwa heshima gani hasa hadi pesa ya wananchi itumie kumjengea sanamu? Ndio maana waTanzania wengi hawalipi kodi, kodi tunalipa ila inaelekezwa kwa mambo ya kipuuzi na ya kishamba kama haya!?
Huu ujinga upo Tanzania tuu na ni sababu ya hii katiba butu na ya kikoloni tulio nayo.
Ni mtu mjinga tu anaweza kubeza mchakato wa katiba mpya.
Kwani mimi nikifa nina shida gani?Kwani nimeteka,kutesa,kuua,kufanya ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuiba kura,kubaka na kulawiti kama Magufuli?Jiandae siku zinahesabika mkuu kama sio wewe mtu wako wa karibu mbwa wewe. Unafikiri hutakufa?
Ina maana Magufuli alikufanyia yote hayo?Kwani mimi nikifa nina shida gani?Kwani nimeteka,kutesa,kuua,kufanya ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuiba kura,kubaka na kulawiti kama Magufuli?