Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Wasije wakatengeneza kama lile alilotengeneza Kigwangalla kwa 400 ,watengeneze la waxy.

PW1.jpg


Diddy.jpg
 
The good news ni kwamba tenda kama hizi huwa wanawahi akina fundi Maiko kisha tunapata katuni badala ya sanamu.
 
Sijui ni kwa nini inapotoshwa habari hii. Sababu kiasi kinachotajwa ni gharama itakayotumiwa kutekeleza mambo manne. Ujenzi na ukarabati wa kumbi tatu na ujenzi wa Sanamu. Fedha hii si ya kutoka hazina bali udhamini wa NBC kwa TANTRADE kama wafadhiri na ndio maana ya kusainiwa MoU trh 5/7/2021
Kuonyesha M420 zinatumika kutengeneza sanamu pekee ni upotoshaji.
Ata kama ingekua inatumika elfu 2000,kujenga kinyago kwa ajili ya sababu iliyotolewa ni ujinga na matumizi mabovu ya fedha tena wakati huu tunaolalamika uchumi wa nchi hauko sawa.
 
Rubbish!
Nchi maskini..Akili za kimaskini!
Huu upupu utaisha lini!

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi huko Marekani, masanamu kadhaa ya viongozi wa zamani waliojihusisha na biashara ya utumwa yaliharibiwa au kutolewa.

Sanamu la Magufuli likijengwa, siku moja litavunjwa na vijana watakaosoma historia mbaya ya Dikteta huyu ikiwa ni pamoja na maovu ya aibu aliyofanya kama vile kuteka,kutesa,kuua,ukabila,ukanda,udini,ufisadi wa kutisha,ubaguzi wa rangi kwa waafrika wenzake,kuua uchumi,kuua demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza,wizi wa kura,wateule wake kufanya ubakaji na ulawiti kwa wananchi na kadhalika.


0AIopCG.jpg
 
Hii ndio n nchi yangu bana

Wanakijiji cha LIANGWENI songea vijijini hawana hata zahanati toka nchi ipate uhuru na zinahtajika milioni 120 tu kumalizia jengo lao na vifaa mwaka wa tano Sasa hakuna msaada

Lakn sanamu lisilo na tija linajengwa kwa milion 450
Wewe mna.. Magufuli kajenga vituo vya avya vingi kuliko awamu zote. So zahanati serkali inaendelea kujenga. Kaa kimya mna...
 
Tutaiporomosha chini siku tukipata uhuru wa kweli. Hiyo ilipata kutokea kule Iraq. Masanamu ya Saddam Hussein yalivunjwa yote.
Hivi kumbe nyinyi kweli ni malofa n a wapumbavu, Unataka kutuambia uhuru wa kweli ni nyumbu kutawala? Unashinda hapa unatukana unasema hauna uhuru? Unataka nini wewe kima?
 
Ndio maana tunasema tunataka katiba MPYA!!

Magufuli katusababishia hasara kubwa ktk nchi hii, kaiba sana, kanyanyasa sana raia wa nchi hii na ujinga mwingine mwingi kafanya,

Kwa heshima gani hasa hadi pesa ya wananchi itumie kumjengea sanamu? Ndio maana waTanzania wengi hawalipi kodi, kodi tunalipa ila inaelekezwa kwa mambo ya kipuuzi na ya kishamba kama haya!?

Huu ujinga upo Tanzania tuu na ni sababu ya hii katiba butu na ya kikoloni tulio nayo.

Ni mtu mjinga tu anaweza kubeza mchakato wa katiba mpya.
Katiba hii iliyopo ilikanyagwa,hata mpya ikimpata wa hovyo ataikanyaga tu,Tumpe mama subira tumwombee aisimamie hii iliyopo mbona sio mbaya sana.
 
Jiandae siku zinahesabika mkuu kama sio wewe mtu wako wa karibu mbwa wewe. Unafikiri hutakufa?
Kwani mimi nikifa nina shida gani?Kwani nimeteka,kutesa,kuua,kufanya ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuiba kura,kubaka na kulawiti kama Magufuli?
 
Kwani mimi nikifa nina shida gani?Kwani nimeteka,kutesa,kuua,kufanya ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuiba kura,kubaka na kulawiti kama Magufuli?
Ina maana Magufuli alikufanyia yote hayo?
 
Back
Top Bottom