Na Uingereza wametubu kwa MagufuliAngekua hai wangesema amelazimisha ajengewe
JPM atabaki kuwa mwamba, shujaa na Rais wa karne
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan mama wa taifa
Ndugu yangu SA sio ligi yako... nyie endeleeni kukamilisha changamoto za matundu ya vyoo vyenu vya shule kwanza..... Maskini siku zote hujitahidi kuwa na vipaumbele sahihi, na vyenye tija na si vinginevyo.......... kazi iendelee.Acha nongwa..lazima lijengwe, kama la madiba pale kusi
Na Uingereza wametubu kwa MagufuliView attachment 1843124
Hahhahah hahhahah hahhahhahahahahhahha hahahaha hhaha hahahah
Hizo sio pesa za kodiMama yangu amefunga duka lake la maharage
Kwakua tra wanalala na kuamkia dukani kwake wakitaka mapato
Pesa za jasho la watu wanaohangaika wanajengea masanamu!
Aise Africa kaz tunayo
Sio woteHapo Wasukuma mmefurahii, .
Hapana syo zetu za kwao kwan ww uliwapa pesa zako?Hizi ni pesa zetu za kodi?
Jamaa mwenyewe alikuwa mvutaji bangi mzuri tuNi kweli alizifyeka biashara zenu za madawa ya kulevya.
Maslahi ya kitaifa siyo mishanara tu!! Kumbukumbu za kitaifa ni tunu kwa ,wa Taifa na fahari ya Taifa!! JPM ni tunu ya Taifa!!! Kumbukumbu yake nimuhimu sana na zinapaswa kuwa nyingi!Sasa hizo ni mishahara ya vijana wangapi kama wangepunguza idadi ya wahanga wa ajira?
Kwa uzoefu wa JPM kubadili matumizi ya fedha, angekua hai hizi angezibadilisha matumizi..! Haiwezekani!
Urais wake ulikuwa hasara kwa taifa,jumuiya ya afrika mashariki,SADC na DuniaHujajibu swali la awali
U hovyo wa Magufuli unategemea ni nani anaeongea.
Kwa mujibu wa nani?Urais wake ulikuwa hasara kwa taifa,jumuiya ya afrika mashariki,SADC na Dunia
Alipofariki dunia nzima ilishangilia, ofisi za balozi zilitumiana taarifa kwa harakaKwa mujibu wa nani?
Kutumiana taarifa kwa haraka ni ishara ya kushangilia?Alipofariki dunia nzima ilishangilia, ofisi za balozi zilitumiana taarifa kwa haraka
Mkosi au pepo chafu likiondoka watu hushangiliaKutumiana taarifa kwa haraka ni ishara ya kushangilia?