Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Angekua hai wangesema amelazimisha ajengewe

JPM atabaki kuwa mwamba, shujaa na Rais wa karne

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan mama wa taifa
Na Uingereza wametubu kwa Magufuli
Screenshot_20210706-104836_millardayo.jpg
 
Acha nongwa..lazima lijengwe, kama la madiba pale kusi
Ndugu yangu SA sio ligi yako... nyie endeleeni kukamilisha changamoto za matundu ya vyoo vyenu vya shule kwanza..... Maskini siku zote hujitahidi kuwa na vipaumbele sahihi, na vyenye tija na si vinginevyo.......... kazi iendelee.
 
Hata wajenge li sanamu la dhahabu, ieleweke tu kwamba Fascist, Nduli, Idd Amin Dada, Kuku Ngendu waZa-banga hamtamwona tena! KWISA HABARI YAKE!!
 
Halafu kuna mahali watoto wanakalia mawe hakuna madawati.
 
Kanunueni madawati acheni kuchezea pesa za umma.
 
Sasa hizo ni mishahara ya vijana wangapi kama wangepunguza idadi ya wahanga wa ajira?

Kwa uzoefu wa JPM kubadili matumizi ya fedha, angekua hai hizi angezibadilisha matumizi..! Haiwezekani!
Maslahi ya kitaifa siyo mishanara tu!! Kumbukumbu za kitaifa ni tunu kwa ,wa Taifa na fahari ya Taifa!! JPM ni tunu ya Taifa!!! Kumbukumbu yake nimuhimu sana na zinapaswa kuwa nyingi!
 
Budget kama imeminywa hiviiiii, mtoe kitu chakueleweka sio kituko aseee

nimefurahi sana kuona na kusikia hili,nasubiri utekelezaji tu Natamani kumjua

alietoa "idea" lazima ni genious of all time "to me" i can call him mastermind.. Am happy!
 
Back
Top Bottom