Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

This is an idiot , Maupumbavu why nchi hii imeanza kuleta mawizi how comes the. Cruel man to be remembered???
 
Sanamu ya kumbukumbu!!!?...Watu fulani walianza hivi hivi badae ndo ikawa miungu yao (historia ya kale sana)
 
Maslahi ya kitaifa siyo mishanara tu!! Kumbukumbu za kitaifa ni tunu kwa ,wa Taifa na fahari ya Taifa!! JPM ni tunu ya Taifa!!! Kumbukumbu yake nimuhimu sana na zinapaswa kuwa nyingi!
Atakumbukwa kwa legacy sio sanamu..!! Hujiulizi kwa nini manabii na waja wema hawana masanamu na legacy zao zinaishi? Wakati huo huo ambao waliisababishia dunia matatizo ndio masanamu yao yapo na hakuna anaejali walichokisimamia kama Firauni yule..
 
HILO SANAMU LINA FAIDA GANI KWA NCHI PAMOJA NA MWANANCHI WAKE? WAKATI MWINGINE WATU TULIOWAPA DHAMANA YA KUTUONGOZA HIVI HUWA MNAKOSA ADABU KABISA KWENYE MATUMIZI YA PESA YA UMMA, TUNA MAHITAJI MANGAPI MIJINI NA VIJIJINI NA BADO HAYAJATEKELEZWA?
 
Hapo sawa, ila 77 ya mwaka huu imepoa sana...
 
Hizo hela wakichanga wanunue kabisa hiyo mitungi, wapeleke...huwa kuna utaratibu wa hizo pesa kukwapuliwa na kubadilishiwa matumizi bado hatujui kama "mama"yetu atauenzi huo mfumo au la maana hatujui kisheria na kikatiba hilo suala limekaaje.

kwanza hii serikali ilishapewa mikopo na ilichangiwa hela nyingi tu na taasisi mbali mbali sijui ziliishia wapi
 
naomba taarifa rasmi, sitaki kuamini hizo habari, yaani hatutoruhusu mtu yoyote atujengee sanamu ya dikteta kwenye nchi hii. tukishindwa kuzuia ujenzi wake, tunaenda kuibomoa.
 
naomba taarifa rasmi, sitaki kuamini hizo habari, yaani hatutoruhusu mtu yoyote atujengee sanamu ya dikteta kwenye nchi hii. tukishindwa kuzuia ujenzi wake, tunaenda kuibomoa.
Hiyo sanamu itajengwa, kwa sababu ipo kwenye kipaumbele cha walioshika mpini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…