DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
This is an idiot , Maupumbavu why nchi hii imeanza kuleta mawizi how comes the. Cruel man to be remembered???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupa taarifa tu, mnaoshangilia ni wewe na wenzako wachache tu.Mkosi au pepo chafu likiondoka watu hushangilia
Atakumbukwa kwa legacy sio sanamu..!! Hujiulizi kwa nini manabii na waja wema hawana masanamu na legacy zao zinaishi? Wakati huo huo ambao waliisababishia dunia matatizo ndio masanamu yao yapo na hakuna anaejali walichokisimamia kama Firauni yule..Maslahi ya kitaifa siyo mishanara tu!! Kumbukumbu za kitaifa ni tunu kwa ,wa Taifa na fahari ya Taifa!! JPM ni tunu ya Taifa!!! Kumbukumbu yake nimuhimu sana na zinapaswa kuwa nyingi!
Nchi nzima, wewe mlilie tu baba yako hapo kaburini chato, funza wameshamla wamemalizaNakupa taarifa tu, mnaoshangilia ni wewe na wenzako wachache tu.
Ook sawa.Nchi nzima, wewe mlilie tu baba yako hapo kaburini chato, funza wameshamla wamemaliza
naomba taarifa rasmi, sitaki kuamini hizo habari, yaani hatutoruhusu mtu yoyote atujengee sanamu ya dikteta kwenye nchi hii. tukishindwa kuzuia ujenzi wake, tunaenda kuibomoa.Hizo hela wakichanga wanunue kabisa hiyo mitungi, wapeleke...huwa kuna utaratibu wa hizo pesa kukwapuliwa na kubadilishiwa matumizi bado hatujui kama "mama"yetu atauenzi huo mfumo au la maana hatujui kisheria na kikatiba hilo suala limekaaje...kwanza hii serikali ilishapewa mikopo na ilichangiwa hela nyingi tu na taasisi mbali mbali sijui ziliishia wapi
Hiyo sanamu itajengwa, kwa sababu ipo kwenye kipaumbele cha walioshika mpininaomba taarifa rasmi, sitaki kuamini hizo habari, yaani hatutoruhusu mtu yoyote atujengee sanamu ya dikteta kwenye nchi hii. tukishindwa kuzuia ujenzi wake, tunaenda kuibomoa.