Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Kwani mimi nikifa nina shida gani?Kwani nimeteka,kutesa,kuua,kufanya ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuiba kura,kubaka na kulawiti kama Magufuli?
wewe ni yale machaga majambazi wenzako wachaga wana roho mbaya kidogo wewee ni roho mbaya plus utapeli na wizi na utakufa vibaya wewe kwa kukatwa katwa kma samaki wa sqngara na watapewa mbwa nyama ya mwili wako nao watapigwa na kuchomwa moto majivu yake yatachukuliwa mpaka ziwani yatamezwa na mamba yule mamba atakamatwa na wavuvi na atachomwa moto tena na atajiozea aliwe na funza na funza nao wataliwa na Tai na tai akifa ataliwa na fisi na fisi naye atachomwa moto yaani wewe mpaka unatia aibu ndio maana unaishi maishamagumu mpaka leo
 
Nani awe na wivu na kinyago?.Watu wanawaza mambo ya msingi sio huo ujinga.Ila kwavile nyie mnawaza mambo ya kipuuzi mkizani mnawakomoa chadema huo sasa ni ujinga wenu.
Sanamu inajengwa sasa wewe toa povu matumdu yote we dont care...
 
Yaani tsh. million 450 ndio ibadilishe kumbi na masanamu kwenye maonesho ya sabasaba yawe ya international... Kweli hiki ni kituko
 
Mwenye roho mbaya pamoja na laana ni Magufuli pamoja na genge lake ambao walikuwa wanavunja katiba ya jumhuri ya muungano wa Tanzania waziwazi bila aibu usoni na kuwatangazia uma wa Watanzania kuwa wanavunja katiba na hakuna wa kuwafanya kitu👇View attachment 1842952
wewe mwenyewe huna familia unapata wapi nguvu ya kuongelea mambo makubwwa ya nchi acha ushamba pambana tafuta hela kwa jasho lako acha wizi na utapeli kwa mfano majizi na madikteta kama Mbowe yanang'ang'ania Madarakani toka miaka 20 iliyopita huu ni uzwazwa
 
Hizo ni mshahara wa watumishi 70 kwa mwaka kama mshahara wa kila mmoja utakuwa 500,000/=
Sasa hizo ni mishahara ya vijana wangapi kama wangepunguza idadi ya wahanga wa ajira?

Kwa uzoefu wa JPM kubadili matumizi ya fedha, angekua hai hizi angezibadilisha matumizi..! Haiwezekani!
 
Mwenye roho mbaya pamoja na laana ni Magufuli pamoja na genge lake ambao walikuwa wanavunja katiba ya jumhuri ya muungano wa Tanzania waziwazi bila aibu usoni na kuwatangazia uma wa Watanzania kuwa wanavunja katiba na hakuna wa kuwafanya kitu👇View attachment 1842952
Duuh....kumbe tulioanza kuwa na matumani na Mama naona basi tuwe wapole tu, kama ndo vile.....
 
Thibitisha kuwa sina familia wala hela

Sisi wanachama ndiyo tuliyomhitaji Mbowe kwa kipindi chote hicho cha miaka 20.Kuna tatizo gani?
kwa hiyo nyamazisheni mamidomo yenuu kuwasimqmisha watu wachafu kama akina mbowee kuongea mambo ya maana wqkabila nyieee
 
Bajeti ndogo sana inatakiwa wajenge image au sana kubwa sana IKEA ndani 💤💤temple.
 
Kuna njia nyingi za kula hela ya umma kwa watendaji serikalini na mashirika yake. Wakati wa magufuli aliwabana sana ndio maana baada ya kufa tu tukaona hazina wakipiga hela zaidi ya milioni 400 eti posho kwa kufanya kazi yao ya kawaida ambayo kwayo wanalipwa mshahara wa mwezi.

Huko nyuma awamu ya 4 kuna kiongozi mkubwa alienda thailand kuzungumza dili la nchi kutengenezewa mvua. Bahati nzuri kwa taifa dili lilifeli ama sivyo mabilioni yangeyeyuka.

Hili la tantrade kutumia milioni 420 eti kujenga sanamu la magufuli nalo ni ubadhirifu tu. Kwanza mwenyewe huko kaburini angesikia angelaani kitendo hicho. Hivi ndio vitu maendeleo yake alikua anapinga mwalimu nyerere. Ujenzi wa sanamu na mahekalu kwa bei za kilanguzi huku wananchi hawana mahitaji ya msingi kama maji. Kwanza ni kujaribu kumdhalilisha kiongozi mkuu ambaye namna ya kumuenzi ni suala la kitaifa.

Kwa maoni yangu hao tantrade wafanye shughuli waliyopewa na mambo ya kumuenzi magufuli waiachie serikali. Kinachoendelea hapo inaonekana ni njia tu ya kupiga hela ya umma.
 
Nyumbu ni kama zimepagawa,

Tafuteni sehemu nzuri mjenge sanamu la kamanda wa anga, bingwa wa gia za angani, mzee wa fursa, Mbowe

Sisi tunajenga la Magufuli.
 
Back
Top Bottom