Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Point , mambo ni mengi ya kufanya kujenga sanamu watu washangae tu au ujenge hospital watu watibiwe, hiyo alieleta wazi la sanamu inabidi asimamishwe kazi ,ajue uchungu wa pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good enough sio pesa za waripa kodi. Wajenge tyu hata kila mkoa ni wao na pesa zao.Yaani mtu yuko Tan Trade lakini akili yake iko kwenye kuchonga vinyago vya watu ( kinyago na sanamu it is same thing) watu wa Makumbusho watafanya nini ? Jengeni business center, room 20 state of the art ziwe full computerized linked to kwenye platforms mbalimbali za kibiashara duniani.
Tumeona hata issue za electronic currency tupo nyuma sana mpaka Mama aliposema, baada ya nyie kuishauri B.O.T . Mna jukumu la kukuza biashara zetu na hasa kupanua wigo wetu kimataifa. Yaani hata TANAPA imewazidi. Halafu leommejifungia na kutoka na hilo wazo la kukunja Mil 400 kujenga sanamu. Kwa nini hata msingetangaza shindano la kuchonga sanamu. Wkajitokeza wajasiriamali mbalimbali ambaye angeshinda Mkempa Airtime na promotion ya kutosha, ama mngetafuta mdhamini wa shindano hilo?
AMKENI
Magufuli was an angel from heaven..Miaka 5 ya utawala wa Magufuli Tanzania umeonekana kama miaka 50 kwa dunia
Shujaa ameenda amewaacha wanaojiita wakuu wa dunia wakitekeleza maono yake
Rest well our hero President John Pombe Magufuli, we miss you[emoji885][emoji885][emoji885]
Magufuli was an angel from heaven..
Mim hata unambie nin.Magu kwangu ndo rais bora katika miaka kadhaa ya karibu hapa ya dunia hii....
badala ya kwenda mbele ccm wanaturudisha nyuma wamebaki kung'ang'ania madaraka na kujiwekea kinga kutoshitakiwa, maana tuendapo mpaka mkuu wa mkoa atawekewa kingaChama Cha Madumavu
Pole sana Kitwangilo! Yote maisha!Ahahahhahahahahahahaha aisee nimecheka sana na kumwaga ka Serengeti lite kangu hapa hotel ya Sugu
Pole sana Kitwangilo! Yote maisha!Ahahahhahahahahahahaha aisee nimecheka sana na kumwaga ka Serengeti lite kangu hapa hotel ya Sugu
Kama siyo chuki binafsi wewe mwenye akili timamu hiyo sanamu inakukera NINI, kama siyo WENDA WAZIMU usio pimika hata huko Milembe Hospitali!? Pole sana!Chuki za nini.nani awe na chuki na ujinga.Wewe mwenye hayo mawazo mfu ndio unayeteseka.
Lakini alisaidia kujenga msikiti mkubwa Dodoma. Hakuna binadamu hata mmoja anayeweza kuwarudhisha wote . Narudia tena hakuna na hawezi kutokea kamwe.acha uwaki arifu huyo Gadafi wa propaganda ndio alikua hivyo ila kiuhalisia hajawahi kua hivyo tatizo waarabu weusi mnalishwa Sana propaganda aisee huyu mpuuzi alivuna alichopanda unajua kwanini wa Libya walimsaliti?
Nilikutana na wazee wa Libya wawili nilivyowaambia jamaa alikua shujaa walitamani kunikata makonzi wanasema huyo jamaa alikua mbaguzi Sana hata huko Libya Kuna makabila alikua hawajali
watu wake ndio walienjoy keki
Ikafika kipindi wakaona Bora wakose wote tu
Halafu naona unajisahaulisha pale alipotuma wanajeshi na vifaa vita kumsaidia Idd Amin Dada atutandike vizuri
Hujapata machungu Kama ya ndugu zetu kule Kagera halafu Leo uje unambie alikua shujaa
What the hell!
Shule na zahanati zinajengwa na huo Mnara wa Kumbukumbu wa JPM nao utajengwa kwa nia na makusudi tarajiwa, ikiwa ni pamoja na KUENZI MAZURI YA JPM ambao Magwanda hawataki kwani aliyoyafanya JPM katika kipindi chake ni machukizo kwao kwa sababu ya chuki tu. Ukiwataka watoe sababu za maana wana meza matapishi yao eti wanataka zahanati na mashule, vitu ambavyo waliwahi kusema "eti hayo ni maendeleo ya vitu" wao wanataka maendeleo ya watu! What a self contradiction ya hawa watu, Binafsi siwaelewi!Kama kweli Wana Nia ya kumbukubu wangetumia pesa hizo kujenga shule na zahanati kuliko kufanya dhambi kwa kujenga masanamu,Kwani hayana faida yoyote na Ni chukizo kwa Mungu wa kweli.
Ila kwa sababu hii ni serikali ya wajinga jengeni tu.
Hata mkitaka kujenga na .......pembeni yake akimpepea jengeni tu.
Yale "masanamu" uliyoona yakivunjwa na wenye hasira, ni kwa sababu yalikuwa yakiwakumbusha shida na matatizo yaliyofanywa wakati wa utumwa na hao wenye masamu hayo! Sisi tunajenga Mnara wa Kumbukumbu wa JPM, siyo sanamu lake! Hapa inahitajika busara kutofautisha hivi viwili, lakini kama akili yako imegubikwa na CHUKI, huwezi kuiona hiyo tofauti! Kwani CHUKI NA HASIRA hufifisha uwezo wa kufikiri! Poleni sana wenye chuki hizi.Kuna nchi niliona masanamu yaliyothaminiwa kwa miaka mingi yakipondwapondwa na watu wenye hasira. Wangetengeneza kitu chenye matumizi kwa jamii wangemkumbuka vizuri zaidi.
Kabugula vipi!? Hiyo miundombinu siyo maendeleo na huduma au unataka nini zaidi ya hayo!?Miaka nenda rudi ni kutenga tu,
Nilifikiri wananchi wanafurahia huduma
kwahiyo kujenga msikiti ndio kigezo Cha kua Shujaa?Lakini alisaidia kujenga msikiti mkubwa Dodoma. Hakuna binadamu hata mmoja anayeweza kuwarudhisha wote . Narudia tena hakuna na hawezi kutokea kamwe.
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Nashauri utoe hoja za nguvu badala ya kuanza kuzungumzia imani na dini za watu wengine. Hili siyo jema!kwahiyo kujenga msikiti ndio kigezo Cha kua Shujaa?
Alikua anajipendekeza Ili kujikosha na kujisafisha tu kutokana na upuuzi wake wa kutuma vikosi viende Uganda kumsaidia Nduli ila karma ilimuumbua badala ya ndege kutua Entebbe airport ikachomeshwa na kuja kutua mwanza unajua kilichofuata Kwa huyo Gadafi?
Aliumbuka Sana ila Mwalimu Nyerere aliamua kumsamehe tu
Yakaisha ndio kujikosha akaja na project ya misikiti
Leo unamwita Shujaa aaaaah wewe labda Shujaa huko madrasa kwenu mnakojazwa propaganda uchwara!
mkuu nimemjibu kutokana na yeye kuja na mtazamo wa kidini badala ya uhalisia halafu wengi wa wahalifu hujificha Kwa mgongo wa dini kueneza propaganda mkuu sio kwamba dini ndio zinawatuma!Nashauri utoe hoja za nguvu badala ya kuanza kuzungumzia imani na dini za watu wengine. Hili siyo jema!