Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

Hapo sasa!.Physics haifanyi kazi tena.
Kwa kifupi Mungu wa kweli kaamua kulifanyizia hili sanamu mpaka watalishusha wenyewe.Maana ipo siku radi italipa sura mbaya isiyokusudiwa.
Physics ya wapi uliambiwa kuwa Earthrod inafanya radi isitokee au isipige mahali?

Kazi ya Earthrod ni kusafirisha umeme wa radi uende ardhini ili usiharibu jengo nk ambazo ni non conductors na sio kuzuia radi isipige
 
Sio anapigana.Bali anapigwa kila siku mpaka anavunjika kichwa na vidole.Kwa heshima kubwa ya Yesu bora ateremshwe pale.Vyenginevyo waBrazili watamdharau sana.
Achana nae hamia kwa mnyazi
 
Physics ya wapi uliambiwa kuwa Earthrod inafanya radi isitokee au isipige mahali?

Kazi ya Earthrod ni kusafirisha umeme wa radi uende ardhini ili usiharibu jengo nk ambazo ni non conductors na sio kuzuia radi isipige
Sasa kwanini litwangwe lenyewe tu? Kwani ndio kitu pekee kilichokwenda juu zaidi?
 
Radi hupiga sehemu yoyote iliyonyanyuka hivyo nadhani hilo sanamu linapigwa na radi kwa sababu limeinuka kuliko sehemu nyinginezo katika hayo mazingira.

Ni sababu ya wazi kabisa.
Dunia nzima ni hilo tu lililonyanyuka?
 
Sasa kwanini litwangwe lenyewe tu? Kwani ndio kitu pekee kilichokwenda juu zaidi?
Kama ndio highest point ya eneo husika mara nyingi lazima lipigwe, refer Burj khalifa na Clock tiwer pale mecca, ni structure zinazokumbana sana na radi
 
ni sikukuu inayotokana na kuandama mwezi,sikukuu hiyo kiswahili na kiarabu huitwa idi,wakiristo waarabu huuita idi,bible hubadilishwa maneno na majina kila baada ya muda hasa wakiona yanaleta mushkeli,palikua na kifungi zamani kikisema yesu aliwatawadha miguu wanafunzi,siku hizi kinasema aliwaosha miguu,hiyo Aya ya idi kwenye biblia siku hizi Ina neno lake,palikua na kifungu kinataja swaumu siku hizi kimepewa jina jingine siyo swaumu Tena...ni baada ya mihadhara ya waislam kuwapa tabu,huko nyuma mji wa hijja kwenye bible za kiarabu uliutaja ni bakka,walipoambiwa Hilo,wakabadilisha jina la mji,hii ni 1800s huko
 
Kama ndio highest point ya eneo husika mara nyingi lazima lipigwe, refer Burj khalifa na Clock tiwer pale mecca, ni structure zinazokumbana sana na radi
Mbona radi zake si kali na bado hizo tower zipo.
 
Aah.. Eeeh.. Sawa, Chief!!!
 
Ni kawaida kitu kirefu kutangulia kupigwa radi ,, hakuna uhusiano wwte na fikra za kidini hapo
 
Ni kawaida kitu kirefu kutangulia kupigwa radi ,, hakuna uhusiano wwte na fikra za kidini hapo
Ukitaka kujiridhisha utasema hivyo.kwa vile wakatoliki walipenda sanamu hilo likao pale ili kila mmojja aone nguvu ya Yesu.Mambo ya kupigwa na radi hayapendezi kutokea pale.Kwa sababu radi inapunguza thamani ya sanamu hilo. Imani ya kidini inaingia kwa sababu kama kweli sanamu hilo linafana na Yesu na kama Mungu wa kweli ameridhia basi lisingepigwa na radi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…