Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

Mnazonga bure tu yaan hapa hoja mungu gani aliyekuwa dhaifu kiasi hicho alaluliwe na radi au kuchinjwa na radi hlf Sasa nahis atakuwa amekufa kwahy hii dunia Nan anayeindesha? Dah Kuna vitu ni ujinga au ushamba yaan mtu profesa eti anaenda kwa mungu wake hlf unakuta ni hili sanamu dah inafikisha muda mwingine,yaan hakuna mungu wa namna hiyo anyeruhusu kupigwa na radi hlf viumbe vyake oooh. Hivyo nimejarbu ksaidia alichotaka kusema.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ni kitu sio yesuuu aaagh mbona maajabu sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mmmh yote sawa tu mkuu Hali ya kuwa ni mwadam au kiumbe huwez ikwepa dini yaan sawasawa upewe gar hlf na manual ya kutumia hiyo gar kutoka kwa mtengenezaji hivyo utalazimika tu kunitumia mfano amekwambia injin weka mafuta unadhan ukiweka maji itakuwaje kwahy hakuna namna ya kukwepa dini ktk maisha yako

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kutoka 20:4-6 SRUV

Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, nami nawarehemu maelfu wanipendao, na kuzishika amri zangu

Ni hasira za Mungu hizo liondoeni hilo sanamu
 
Jengo lolote refu lazima lipigwe radi. Sio supernatural effect na kwanza hili sanamu halina sura ya Yesu ni just nadharia.
Lile jengo la dubai lingeshadondoshwa siku nyingi
 
Sijapata hoja
 
hivi hizo "earth rod" huwa wanaweka kila jengo ? Kwa nn watoto wa shule za vijijini hufa na radi madarasani Hakuna "earth rod" ?
Kila kiumbe hai kitakufa hivyo ulishafika wkt hata uweke Kinga za namna gan huwez zuia mauti hivyo ndo majib mepesi lkn km ulidhan earth rod ndo Kinga ya mauti osha ubongo wako isipokuwa wanadam wamejitahid kufanya asbab kwa kupewa elim na mola ya kupunguza Hilo jambo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nitakuwa mchoyo kama sikukupa asante kwa kuweka historia yake hapa..

japo sijajua umeandika ukiwa nafsi umeikunjua au vipi maana nikikusoma katikati ya mistari naona kama kuna kuteseka fulani ndani yako.
Lazima ateseke pale jamii inapoangamia kwa kukosa akili mpaka wajenge sanam wakidhan ni mungu nahatmaye kachinjwa je dunia mbona haikubadilka

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…