mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mimi naamini Mungu mmoja na kufufuliwa kupo.Aisee!! Mbona tunazunguka zunguka ndugu. Nimekuambia imani ni kitu binafsi kina nihusu mimi. Kama wewe umeamua kuweka imani yako public basi is up to you. Unaweza kutuambia imani yako!?
Kati ya kuumba mifupa from nowhere na kufufua mifupa decayed ipi kazi rahisi?Mwenyezi Mungu yupi!?
1. Wa wayahudi
2. Wa wakristo
3. Wa waislam
4. Wa wahindu
5. Wa wabudha
6. Wa confuism
7. Wa Taoism
Yupi unayemuongelea anakuja kufufua mifupa iliyooza na mingine decayed, imeliwa na funza!? Na kuwa mbolea.
Basi hiyo ni Imani yako binafsi na utahukumiwa kwa Imani yako na huyo unayemwamini.Mimi naamini Mungu mmoja na kufufuliwa kupo.
Na nitakuja kulipwa kwa matendo yangu
Kwani mifupa kumbe iliubwa!? Mimi sikujua hilo. Kwa mujibu wa biology mifupa ni scientific process na siyo kuumbwa.Kati ya kuumba mifupa from nowhere na kufufua mifupa decayed ipi kazi rahisi?
Mnaanza kuogopa michoro, masanamu ya chuma na udogo!? Kweli imani yenu ni haba.Hakuna sababu yeyote ya hii sana mu zaidi ya ya kishetani
wewe unaona Hilo sanamu NI zuri?Basi hiyo ni Imani yako binafsi na utahukumiwa kwa Imani yako na huyo unayemwamini.
Usiwalazimishe na wengine waishi katika imani yako. Waache waweke sanamu zao kwa imani yao. Na wewe endelea na imani yako. Kwani shida iko wapi!?
Kwani shida ya samu hiyo ni nini!?wewe unaona Hilo sanamu NI zuri?
Mnaanza kuogopa michoro, masanamu ya chuma na udogo!? Kweli imani yenu ni haba.
Jamani ajitolee mmoja humu amroge huyu jamaa kisha aje kutuambia ngano na vigano vinavyomtokeaMashetani never existed. Hiyo ni myth au Ngano na vigano vya mazimwi.
Siku ya mwisho ni siku yenye utakufa ndugu
Ongea kwa facts na siyo kujiongelea kama umezinduka usingiziniSiku ya mwisho ni siku yenye utakufa ndugu
Hakuna siku ya mwisho wala moto wa milele
Kama hauoni shida ya hyo sanamu una matatizo ya AKILIKwani shida ya samu hiyo ni nini!?
Kama unaogopa sanamu tu iliyotengenezwa kwa plastic, chuma na udongo mapepo yakija utaweza kupambana nayo kweli!?
Sasa hujaniambia shida unakuja kurukia kwamba nina matatizo ya akili. Mzee usilazimishe vitu vyenye shida kwako viwe shida kwa wengine.Kama hauoni shida ya hyo sanamu una matatizo ya AKILI
Ushetani wa hiyo sanamu ni upi!? Can you elaborate plz!?Kusema ushetan upo doesn't indicate fear, hata Yesu did aknowledge uwepo wa shetani
Ushetani wa hiyo sanamu ni upi!? Can you elaborate plz!?
Mimi naongelea kifo ni mwisho, wewe unaouliza kuzaliwa na mwanzo. Kifo na kuzaliwa ni vitu viwili tofauti.
Tuongelee kufa sio kuzaliwa.