4 "Wa kwanza alikuwa kama simba, naye alikuwa na mabawa ya tai; nikatazama, hata mabawa yake yakafutuka manyoya, akainuliwa katika nchi, akasimamishwa juu kwa miguu miwili kama mwanadamu; naye akapewa moyo wa kibinadamu." Daniel 7:4
-Kidogo huyu mnyama wa Daniel anaweza kufanana kwa kuwa na mabawa kama huyo,
-Simba mwenye mabawa huwakilisha ufalme wa Babeli.
-Mnyama huwakilisha ufalme
17 "Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani." Daniel 7:17
-Rangi zilizotumika kwenye sanamu ya Amani ni rangi zinazotumika sana na Wa aztec wa Mexico-waabudu jua ndio maana rangi za upinde wa mvua/rangi saba za jua inaonekana katika sanamu hiyo.
-Katika historia ya ulimwengu huu Misri,Roma,Iraq ya zamani na Utawala wa Aztec ndio sehemu zenye desturi za kuabudu jua.
-Huko UN Sanamu ya amani imewekwa pamoja na sanamu za Tai (alama kubwa ya waabudu jua/Masons na
mafuvu yaliyovalishwa nguo,kuabudu wafu na kuwaamini ni moja ya mafundisho makuu ya waabudu jua,ukiacha lile la ushoga.