Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Mwenyezi Mungu yupi!?
1. Wa wayahudi
2. Wa wakristo
3. Wa waislam
4. Wa wahindu
5. Wa wabudha
6. Wa confuism
7. Wa Taoism
Yupi unayemuongelea anakuja kufufua mifupa iliyooza na mingine decayed, imeliwa na funza!? Na kuwa mbolea.
Kati ya kuumba mifupa from nowhere na kufufua mifupa decayed ipi kazi rahisi?
 
Mimi naamini Mungu mmoja na kufufuliwa kupo.
Na nitakuja kulipwa kwa matendo yangu
Basi hiyo ni Imani yako binafsi na utahukumiwa kwa Imani yako na huyo unayemwamini.
Usiwalazimishe na wengine waishi katika imani yako. Waache waweke sanamu zao kwa imani yao. Na wewe endelea na imani yako. Kwani shida iko wapi!?
 
wewe unaona Hilo sanamu NI zuri?
 
Kwani shida ya samu hiyo ni nini!?
Kama unaogopa sanamu tu iliyotengenezwa kwa plastic, chuma na udongo mapepo yakija utaweza kupambana nayo kweli!?
Kama hauoni shida ya hyo sanamu una matatizo ya AKILI
 
Kama hauoni shida ya hyo sanamu una matatizo ya AKILI
Sasa hujaniambia shida unakuja kurukia kwamba nina matatizo ya akili. Mzee usilazimishe vitu vyenye shida kwako viwe shida kwa wengine.
Jaribu kuficha upumbavu. Shida kwako kwangu siyo shida.
 
4 "Wa kwanza alikuwa kama simba, naye alikuwa na mabawa ya tai; nikatazama, hata mabawa yake yakafutuka manyoya, akainuliwa katika nchi, akasimamishwa juu kwa miguu miwili kama mwanadamu; naye akapewa moyo wa kibinadamu." Daniel 7:4

-Kidogo huyu mnyama wa Daniel anaweza kufanana kwa kuwa na mabawa kama huyo,
-Simba mwenye mabawa huwakilisha ufalme wa Babeli.

-Mnyama huwakilisha ufalme

17 "Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani." Daniel 7:17

-Rangi zilizotumika kwenye sanamu ya Amani ni rangi zinazotumika sana na Wa aztec wa Mexico-waabudu jua ndio maana rangi za upinde wa mvua/rangi saba za jua inaonekana katika sanamu hiyo.
-Katika historia ya ulimwengu huu Misri,Roma,Iraq ya zamani na Utawala wa Aztec ndio sehemu zenye desturi za kuabudu jua.

-Huko UN Sanamu ya amani imewekwa pamoja na sanamu za Tai (alama kubwa ya waabudu jua/Masons na
eagle.jpg
mafuvu yaliyovalishwa nguo,kuabudu wafu na kuwaamini ni moja ya mafundisho makuu ya waabudu jua,ukiacha lile la ushoga.
skull 4.jpg
 
Back
Top Bottom