Barakate I have
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 736
- 664
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa najiuliza watu wa Jf wapo hii dunia ninayoishi mimi ama wana sayari yao nyingine? [emoji848][emoji848]
Naizo ngono. Hacha tumsubiriMimi naamini Mungu mmoja na kufufuliwa kupo.
Na nitakuja kulipwa kwa matendo yangu
Na hapa ndipo mazezeta kama nyie mlipokamatwa na walioleta hizo dini. Eti Biblia haisomwi kama Alfu lela ulela,
Kwani mkikubali tu kwamba mavitabu yenu yamejaa mapungufu kuna shida gani?
Yaani eti Mungu huyohuyo aandae Moto wa Jehanamu mwenyewe ili wadhambi awachome,
Halafu yeye huyohuyo Mungu/Yesu anakuja kuwafia watu ili awaokoe na moto aliouandaa yeye mwenyewe.
Sasa hizi kama si hadithi za kijinga ni nini?
Hujui ukisemacho. Yameandaliwa hayoo,[emoji124][emoji124]Kati ya kuumba mifupa from nowhere na kufufua mifupa decayed ipi kazi rahisi?
Kazi zangu. Lakini aseme mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji124][emoji124]Jamani ajitolee mmoja humu amroge huyu jamaa kisha aje kutuambia ngano na vigano vinavyomtokea
Jina la hicho kitabu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Itafika kipindi.
Hauwezi kununua Wala kuuza mpaka uwe na hyo Chapa ambayo ni CHIP.
Yenye taarifa zako zote.watajua wewe ni Nani unafanya nini ,upo wapi una watoto wangapi .n.k
Lengo ni kuitawala duniaView attachment 2055826
Hata science haisemi hivyo, death means brain death,hyo ndio science .Mapigo ya moyo yanakuwa yamesimama, hakuna mzunguko wa damu, mwili unakuwa wa baridi. Hicho ndicho kifo.
Hyo NI biblia.Jina la hicho kitabu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa nini Mungu alitengeneza hayo mabaya?Kwanza kabisa MUNGU alimuumba mwanadamu kwa mfano wake (yani Umungu) , akampa nafasi ya kuchagua kuishi katika mabaya ambao mshahara wake ni motoni na kuishi katika mema ambapo mshahara wake ni mbingu
Motoni haikutengenezwa kwa ajili ya binadamu , motoni ilikuwa ni kwa ajili ya shetani. Adam ndiye aliyesabisha wanadamu kuingia motoni baada ya kuchagua mabaya yaani pale alipodanganywa na shetani ale tunda na afanane na MUNGU , na ikumbukwe shetani (malaika walioasi) nao walifukuzwa mbinguni na kuhukumiwa kwenda motoni kwa sababu ya kutaka kuwa MUNGU na kuupinduwa utawala wa MUNGU
Pili swala la Biblia , Hakuna kitu kwenye Biblia kitafutika , yale yalioandikwa yatatimia .
Na nimeona pia hujui tofauti kati ya MUNGU na Yesu , Yesu ni mwana wa kwanza wa MUNGU , ndiye wa kwanza kuumbwa na MUNGU kabla hajaumba chochote kile kati ya mbingu na malaika . Na Yesu ndiye aliyefanya uumbaji , kwa kupitia nguvu ya MUNGU . Na yeye ndiye Masiha . Na kila goti litapigwa siku ya mwisho kwa sababu MUNGU amemfanya kuwa mfalme
Jina La Yesu , likitajwa Mapepo(Majini) yanapiga kelele za maumivu. Jina La Yesu likitajwa wenye imani wanapona UKIMWI , KISUKARI , KANSA na magonjwa yalioshindikana. HAKUNA JINA LENYE NGUVU KAMA JINA LA YESU
Kwa nini ng'ombe anakula majani na anatoa maziwa?Kwa nini Mungu alitengeneza hayo mabaya?
Kwa kuwa hakukuwa na Shetani kabla huyo Shetani alipata wapi wazo la kuasi?
Na je, Mungu wenu alishindwa kutengeneza Ulimwengu ambao Shetani hata afanyaje hataweza kuasi?
Ukishagundua ya kwamba habari za Mungu ni uongo mtupu automatically na kichwa cha post hii na habari nzima inakuwa imeishia hapo.Kwa nini ng'ombe anakula majani na anatoa maziwa?
Zingatia kichwa cha habari cha mwanzisha mada. Kama huna majibu tulia .
Dah,ndugu nafikili unaitaji kieleweshwa vizuri juu ya mambo hayaHakuna utabiri. Siku ya mwisho ni siku ya kifo cha mtu.
Ukishagundua ya kwamba habari za Mungu ni uongo mtupu.
Melo,amekusanya viumbe vya tofauti tofauti na kuvileta pamoja humu jamvini,Sasa hapa ndani unaishi kwa akili kubwa mkuu!!Huwa najiuliza watu wa Jf wapo hii dunia ninayoishi mimi ama wana sayari yao nyingine? [emoji848][emoji848]
Kwanini uongelee dunia tu usiongelee sayari zingine!? Kwani vitu lazima viumbwe Mzee!?Hao wote MUNGU WAO MMOJA.
Kwani dunia na vilivyomo vimeumbwa na Mungu wangapi?
Vyote uvionavyo na usivyo iona ameviumba yeyeKwanini uongelee dunia tu usiongelee sayari zingine!? Kwa vitu lazima viumbwe Mzee!?
Unaweza kutuletea proof yakuonesha vitu viliumbwa!?Vyote uvionavyo na usivyo iona ameviumba yeye
Unaweza kutuletea proof yakuonesha vitu viliumbwa!?
Aliyeumba ni nani!? Naye kaubwa na nani!?
Kama yeye hajaubwa kwanini ulimwengu lazima uumbwe?