Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

Itafika kipindi.
Hauwezi kununua Wala kuuza mpaka uwe na hyo Chapa ambayo ni CHIP.
Yenye taarifa zako zote.watajua wewe ni Nani unafanya nini ,upo wapi una watoto wangapi .n.k
Lengo ni kuitawala dunia
Na hapa ndipo mazezeta kama nyie mlipokamatwa na walioleta hizo dini. Eti Biblia haisomwi kama Alfu lela ulela,
Kwani mkikubali tu kwamba mavitabu yenu yamejaa mapungufu kuna shida gani?

Yaani eti Mungu huyohuyo aandae Moto wa Jehanamu mwenyewe ili wadhambi awachome,

Halafu yeye huyohuyo Mungu/Yesu anakuja kuwafia watu ili awaokoe na moto aliouandaa yeye mwenyewe.

Sasa hizi kama si hadithi za kijinga ni nini?
Screenshot_20211224-171158.jpg
 
Jina la hicho kitabu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hyo NI biblia.
Ujue Kuna watu dunia hii Wana ona Wana haki Peke yao ya kuishi.
Wengine wanatuona useless people.
Ndo maana wanatuletea uzazi wq mpango, chanjo,magonjwa,vyakula vya chemical n.k
 
Kwanza kabisa MUNGU alimuumba mwanadamu kwa mfano wake (yani Umungu) , akampa nafasi ya kuchagua kuishi katika mabaya ambao mshahara wake ni motoni na kuishi katika mema ambapo mshahara wake ni mbingu

Motoni haikutengenezwa kwa ajili ya binadamu , motoni ilikuwa ni kwa ajili ya shetani. Adam ndiye aliyesabisha wanadamu kuingia motoni baada ya kuchagua mabaya yaani pale alipodanganywa na shetani ale tunda na afanane na MUNGU , na ikumbukwe shetani (malaika walioasi) nao walifukuzwa mbinguni na kuhukumiwa kwenda motoni kwa sababu ya kutaka kuwa MUNGU na kuupinduwa utawala wa MUNGU

Pili swala la Biblia , Hakuna kitu kwenye Biblia kitafutika , yale yalioandikwa yatatimia .

Na nimeona pia hujui tofauti kati ya MUNGU na Yesu , Yesu ni mwana wa kwanza wa MUNGU , ndiye wa kwanza kuumbwa na MUNGU kabla hajaumba chochote kile kati ya mbingu na malaika . Na Yesu ndiye aliyefanya uumbaji , kwa kupitia nguvu ya MUNGU . Na yeye ndiye Masiha . Na kila goti litapigwa siku ya mwisho kwa sababu MUNGU amemfanya kuwa mfalme

Jina La Yesu , likitajwa Mapepo(Majini) yanapiga kelele za maumivu. Jina La Yesu likitajwa wenye imani wanapona UKIMWI , KISUKARI , KANSA na magonjwa yalioshindikana. HAKUNA JINA LENYE NGUVU KAMA JINA LA YESU
Kwa nini Mungu alitengeneza hayo mabaya?

Kwa kuwa hakukuwa na Shetani kabla huyo Shetani alipata wapi wazo la kuasi?

Na je, Mungu wenu alishindwa kutengeneza Ulimwengu ambao Shetani hata afanyaje hataweza kuasi?
 
Kwa nini Mungu alitengeneza hayo mabaya?

Kwa kuwa hakukuwa na Shetani kabla huyo Shetani alipata wapi wazo la kuasi?

Na je, Mungu wenu alishindwa kutengeneza Ulimwengu ambao Shetani hata afanyaje hataweza kuasi?
Kwa nini ng'ombe anakula majani na anatoa maziwa?

Zingatia kichwa cha habari cha mwanzisha mada. Kama huna majibu tulia .
 
Kwa nini ng'ombe anakula majani na anatoa maziwa?

Zingatia kichwa cha habari cha mwanzisha mada. Kama huna majibu tulia .
Ukishagundua ya kwamba habari za Mungu ni uongo mtupu automatically na kichwa cha post hii na habari nzima inakuwa imeishia hapo.

Ndiyo maana tumewarejesha huko kwenye shina ili kuukata mzizi kabisa.
 
we amini unavyoamini,maana haya Mambo yanahitaji akili zaidi,na kibaya wazungu Mambo mengi wametuingiza chaka...hata hizi biblia na kuruan ,Mambo mengine mle wameyabadili kinyume Cha ukweli halis!! Imani ya kweli iko ndani ya moyo wako,na sio haya tunayoambiwa !!!!,
 
Huwa najiuliza watu wa Jf wapo hii dunia ninayoishi mimi ama wana sayari yao nyingine? [emoji848][emoji848]
Melo,amekusanya viumbe vya tofauti tofauti na kuvileta pamoja humu jamvini,Sasa hapa ndani unaishi kwa akili kubwa mkuu!!
 
Kwani hiyo sanamu iko na shida gani? Hii mijitu rangi nyeusi ikishashikaga dini yaan hata ufahamu wao nao unakufa yanakuwa majinga mazezeta.

Kila kitu wanalazmisha kiendane na maandiko ya biblia mwsho wa siku wanakuja kuaibika kwa maana hakuna ufunuo wala utabiri wa biblia uliowahi kutimia na hakuna utakao timia kwakuwa biblia na dini zote ni uongo[emoji23][emoji23][emoji23].

Hawa wafia dini walianzia kwenye Covid19 kusema kuwa chanjo ni mark of the beast666, haya wakaumbuka na sasa wamebaki kwenye sintofahamu kwa kubashiri mambo kama waganga wapiga ramli[emoji23][emoji23].

Wew mtoa mada, kama ungejuwa hii dunia inakwenda wapi na inaendeshwa vipi hakika ungeufuta huu uzi wako wakipuuzi, maana hata maandiko unayotumia kunukuu kwa biblia ni hao hao walioweka sanamu ndyo wamekupa hizo biblia, so usifikil watakupa kitu kitakachowaangamiza wao wenyewe.

Mwisho wa dunia upo, ila si huo mnaodanganyana nyie wapumbavu washika dini na maandiko ya Uongo.

UKWELI MCHUNGU [emoji23][emoji23]
1640289842138.jpg
 
Back
Top Bottom