Eti mnaimba nae kwaya khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Jack Wolper alibadili dini [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo tunaimba naye kwaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaumbwa na Mungu anayechukia Wayahudi 😝😝
Huu ni upumbavu wewe ni mjukuu wa yule jamaa aliyekuwa hajui kusoma.Hao wote ni WASANII..walikuwa kwenye scene ya MOVIE FULANI..kwa siku tofauti tofauti..hawakuwahi kubadili DINI SERIOUS....huyo SURAIYYA IS REALLY MUSLIM NOW..HAKUWAHI KUWA MUIGIZA MOVIE.. ...mimi pia ni MKRISTO MKUU..KANIUDHI SANA,,KUBADILI DINI...hilo ZIGO sitoliona tena KANISANI..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanitaiza huwa mnatumia?Alhamdulillah. Waislam tunaijuwa faida ya maji kabla ya corona.
Mnatawadha ili kujikinga na magonjwa? Je Koran imeyaainisha hayo magonjwa ni yapi au ya aina gani?Na wengi sasa wataelewa kwanini Uislam umesisitiza watu kutawadha na kwanini hata msikitini Waislam hawaingii bila udhu (kunawa na kujiosha sehemu zote muhimu zinazoweza kugusa kiurahisi) na karibu mtaelewa kwanini huwezi kuingia msikitini na viatu.
Burqa ndio Barakoa uko sawasawa kweli?Kumfundisha Muislam barakoa (burqa) ni kama upo Coco beach unauliza baharini wapi.
Burqa na Barakoa ni vitu viwili tofauti.Hili ni vazi la stara ambalo Waislam tunalivaa kwa.miaka mingii tu, halitupi shida. Mpaka, ilifikia kwa kejeli tu, watu kutuuliza tunapumua vipi tukiivaa burqa (barakoa), naona sasa jibu wanalo.
Hapo KANISANI mkuu..kwani hayo mavazi hayana shida KANISANI KWETU..Huu ni upumbavu wewe ni mjukuu wa yule jamaa aliyekuwa hajui kusoma.
Sanchi amewahi kuhudhuria ibada kanisa gani?
Na je alienda na mavazi gani?
Pure Bongo movie habits. [emoji23]Jack wolper
Irene uwoya
Aunt Ezekiel
Wote Hawa walibadilj dini Ila wakarudi walikotoka kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoamua kuandika kiswahili andika kiswahili tu na unapoamua kuandika arabish andika arabish tu
Kanisa sio Ukristo tambua hiloMwacheni SURAIYYA awe na MFUNGO MWEMA...,,kama ni habari ya kupakuliwa MTQRO ,,,HATA KANISA LIMEHALALISHA NDOA YA MIDUME KWA MIDUME....MAPOVU kwa SURAIYYA yanatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo KANISANI mkuu..kwani hayo mavazi hayana shida KANISANI KWETU..View attachment 1432845
Sent using Jamii Forums mobile app
Jack wolper
Irene uwoya
Aunt Ezekiel
Wote Hawa walibadilj dini Ila wakarudi walikotoka kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifuatilia kiini hasa utagundua ni sababu ya mapenzi!!View attachment 1432142
Mrembo maarufu mtandaoni Sanchword amebadili dini na kuwa muislam rasmi na kuitwa Surraiya Evarist Rimoy. Sanchi binti wa kichaga mwenye shepu matata amekuwa akifunga ramadhani wakati bado hajaingia kwenye uislam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kukijuwa Kiswahili kwani huna asili nacho.Sanitaiza huwa mnatumia?
Vipi na faida ya kuchambia mawe bado mwaijua?
Kwenye kiswahili sijawahi kuliona neno alhamudilal.
Mnatawadha ili kujikinga na magonjwa? Je Koran imeyaainisha hayo magonjwa ni yapi au ya aina gani?
Hilo la viatu sahau, Israel wameshagundua chanjo ya Corona na hata isipofanikiwa, watu hawawezi kuamriwa kutembea peku au kuingia mahala fulani peku.
Biologically tutatengeneza tatizo jingine kubwa sana watu wana mifangasi miguuni, na kunawa hakuondoi fangasi.
Burqa ndio Barakoa uko sawasawa kweli?
Burqa na Barakoa ni vitu viwili tofauti.
Barakoa zinatumika mahospitalini miaka mingi sana.
Kuna athari za kutumia Barakoa moja kwa muda mrefu kubwa tu kama zile anazozipata mtu anayejifunika kichwa wakati wakulala.
Unaweza kutueleza hiyo burqa moja mnaivaa kwa muda gani kabla hamjavaa nyingine?
Na unafahamu kwanini kuvaa burqa mataifa yenye jangwa kuna faida nyingi kama Yemen, Saudia, Djibouti, Sudan, Qatar n.k kuliko kuvaa burqa San Diego?
Phobia aka mchechetu.Kaumbwa na Mungu anayechukia Wayahudi 😝😝
Sawa wagawa tiGoHuwezi kukijuwa Kiswahili kwani huna asili nacho.
Unaona ajabu mawe, huoni ajabu kuwa kama paka kunya mavi kujipaka?
Mwenzenu kaiona Nuru ya Allah nyie mnapata mchechetu (phobia).
Allah amuepushe na hasad zenu na amjaalie azidi kuupenda, kuusoma na kuufata Uislam.