tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Muulize mbona kwenye migodi ya dhahabu,almasi,ruby,saphire mbona hawajajenga ukuta?au yale sio madinijohnthebaptist,
Hii ni habari mbaya kwa vyama pinzani - hawakutaka mafanikio kwenye madini (ukuta waliupinga kabla hujajengwa na baada ya kujengwa waliubeza)
Mita 200 ni mgodi ambao bado upo juu sana,mikanda ya mawe mingi ni meter 500 au 700 ndio uanze kupata madini..opec kuna migodi imeenda mita 2500Unachowaza hakipo hivyo ile migodi ya mererani ni mirefu zaidi ya mita 200 kwenda chini na njia sio mnyooko eti ukichungulia utaona mwisho.
Hiyo mle kuna migodi hadi mingine ina mitobozano chini kwa chini (kunawekwa grill kama lile la dirishani)hivyo pale juu mwanzo mwa shimo kuna kuwa ma kijumba(kama unavyoona choo)hivyo wale wazamaji wanaweza zama wakakaa hata siku 3 hadi 5 humo humo chini na kila kitu humo humo kama ni kitu kama sigara au bangi au batery za tochi, maji ya kunywa au balbu kama imeungua unamtuma nyoka (nyoka ni wale vijana wadogo dogo) hivyo kinachoendelea huko chini hao walinzi hapo juu ni ngumu sana kujua
Chorongo zinaweza kuzama hata tatu mkapiga moto mkakuta ni korongo hewa halina madini,na huo mkanda wa laizer unaweza kukata au kuchukuliwa na mgodi wa pembeni...jirani yake angekua sunda ungesikia keshamfukuzia na kumpita na kuchukua njiaNdo uzuri wa madini ukishauotea mwamba kila sururu na tindo unayopiga inatoka na mali. Safi sana Laizer piga kazi, pata pesa jenga nchi.
[emoji28][emoji28][emoji28]Mtu mwenye $5M liquid Cash mnamuita mdogo, ila mfanyabiashara mwenye $15000 anaitwa mfanyabiashara wa kati na kila siku TRA wapo naye
Siasa za hii nchi bhana.
Mataga nenda mererani na wewe,acha kukaa tu hapo lumumbaMungu ibariki Tanzania
[emoji28][emoji28][emoji28]Huyu jamaa anajabali analikwangua kidogo kidogo. Ndyo maana mawe anayotoa yanastructure inayofanana. Huyu akibanwa anaweza kuja na jiwe la kubebwa na fuso.
Mtu anasbilion 7 anasema anatarajia kujenga mall unadhani mall ni kitu ya mchezo?
Tofautisha aina ya biashara na mtaji unatakiwa.Mtu mwenye $5M liquid Cash mnamuita mdogo, ila mfanyabiashara mwenye $15000 anaitwa mfanyabiashara wa kati na kila siku TRA wapo naye
Siasa za hii nchi bhana.
Ungejiuliza kwanza mchimbaji mkubwa anafananaje......Me mwenyewe nineshangaa. Huwezi mwita Bilionea kama huyo mchimbaji mdogo. Kuna wachimbaji ambao miaka yote wanachimba kwa makarai, makoreo na machujio very locally na hawajawahi pata hata mil 20, sasa hao ni sawa na huyu jamaa? Je hao wengine wa kati na juu wote wanenpiga gap huyu Laizer?
Money laundering kwa maslahi ya watu fulani. Hamjashtuka tu.
Kuna vitu bavicha wanaongea inakufanya uamini wao vichwa vyao vipo kutenganisha masikio tuWatu bwana!! Hivi mnajua maana ya money laundering? ML processing mnaijua? Sasa yeye anachimba madini kisha kuyauza, how is money that laundered?
Hebu mkajifunze vizuri kuhusu ML ndio mje hapa [emoji3525][emoji3525]
Nimempa mifano tuu hata kule block D nako imeenda chini sana kuliko hiyo ya lizer anayosemaMita 200 ni mgodi ambao bado upo juu sana,mikanda ya mawe mingi ni meter 500 au 700 ndio uanze kupata madini..opec kuna migodi imeenda mita 2500