Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.

IMG-20220125-WA0069.jpg
 
Nadhani hii timu inastahili kabisa kuitwa Timu ya wananchi. Yaani kila Mkoa ni nyumbani!

Halafu inacheza kwenye viwanja vizuri tu ukilinganisha na wale wengine wanaopangwa kucheza kwenye majaruba ya mpunga 🥵
Na mwisho wa siku kuishia tu kufungwa, au kutoa sare.
 
Utopolo hii hata aje PSG atafungwa Tu.

Kucheza na utopolo ya sasa ni Sawa na kwenda na mwanamke geust ,,

Huku umekodi boda boda,

Bila kujuwa huyo boda boda
(GSM),
ndy mume halali wa huyo mwanamke (UTOPOLO).

Unadhani nn kitatokea?huko guest?

Ndy maana mnyama(simba) alishtuka mapema Sana kwa hili.
 
Sasa hapo sifa ipo wakati umeambiwa kabisa uwanja wa taifa utakuwa na matumizi mengine? Sasa suala la yanga kuchagua uwanja hiyo imetokana na ukweli kwamba yanga ina mashabiki wengi zaidi Mwanza kuliko mkoa mwingine ukiachilia Dar.

Hiyo ni mikakati ya kuhakikisha ushindi unadhani kwanini hawakuchagua Jamhuri Dodoma ama Morogoro? Acha mihemiko. Dodoma ama Morogoro hana mashabiki wengi kiasi hicho bali Mwanza ambapo Yanga wana tawi lao pia ambalo ni Toto African ya Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baada ya mnyama simba kustukia mapema hili..alichukua hatua gani?? alijitoa kwenye ligi?
Utopolo hii hata aje PSG atafungwa Tu.

Kucheza na utopolo ya sasa ni Sawa na kwenda na mwanamke geust ,,
Huku umekodi boda boda,,
bila kujuwa huyo dereva boda boda (GSM) ,
,ndy mume halali wa huyo mwanamke(TFF) unayekwenda nae guest..
Unadhani nn kitatokea?

Ndy maana mnyama(simba) alishtuka mapema Sana kwa hili.
mnya
 
Sasa hapo sifa ipo wakati umeambiwa kabisa uwanja wa taifa utakuwa na matumizi mengine? Sasa suala la yanga kuchagua uwanja hiyo imetokana na ukweli kwamba yanga ina mashabiki wengi zaidi Mwanza kuliko mkoa mwingine ukiachilia Dar.

Hiyo ni mikakati ya kuhakikisha ushindi unadhani kwanini hawakuchagua Jamhuri Dodoma ama Morogoro? Acha mihemiko. Dodoma ama Morogoro hana mashabiki wengi kiasi hicho bali Mwanza ambapo Yanga wana tawi lao pia ambalo ni Toto African ya Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini haiondowi ukweli kwamba Mbao Mwanza ndio nyumbani kwao, yani hata gharama za usafiri wanaokolewa.

Inabidi uwe shabiki maandazi tu usilione hilo.
 
Kama kisa ni uwanja wa Mkapa kutumika, basi lingekuwa Kolo hapo lingetaka mechi iahirishwe hadi February mwishoni. Kama taifa tuna hasara sana kuwa na hawa jamaa kwenye ligi yetu!
 
Mzee timu haziangalii nyumbani kwa timu pinzani. Mbao Mwanza ni nyumbani lakini mashabiki watakaojaza uwanja ni wa Yanga licha ya mbao kuwa nyumbani hivyo ile hamasa tu ya mashabiki inavhagiza wachezaji na timu kwa ujumla kuwa na morali ya mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kisa ni uwanja wa Mkapa kutumika, basi lingekuwa Kolo hapo lingetaka mechi iahirishwe hadi February mwishoni. Kama taifa tuna hasara sana kuwa na hawa jamaa kwenye ligi yetu!
[emoji1787][emoji28][emoji28] yani timu inayowakilisha nchi na serikali vizuri kimataifa unaiita hasara. Kweli uto mwenye wapo watatu haji manara na wale wazee wengine aliowataja
 
Sasa hapo sifa ipo wakati umeambiwa kabisa uwanja wa taifa utakuwa na matumizi mengine? Sasa suala la yanga kuchagua uwanja hiyo imetokana na ukweli kwamba yanga ina mashabiki wengi zaidi Mwanza kuliko mkoa mwingine ukiachilia Dar.

Hiyo ni mikakati ya kuhakikisha ushindi unadhani kwanini hawakuchagua Jamhuri Dodoma ama Morogoro? Acha mihemiko. Dodoma ama Morogoro hana mashabiki wengi kiasi hicho bali Mwanza ambapo Yanga wana tawi lao pia ambalo ni Toto African ya Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumewapunguzia mzigo Mbao fc
 
baada ya mnyama simba kustukia mapema hili..alichukua hatua gani?? alijitoa kwenye ligi?

mnya
Tayari ameshajuwa kuna figisu na mazingira ya utopolo kuandaliwa ubingwa.
 
Mashabiki na wapenzi wa yanga mnapaswa kuwa na adabu kwenye mpira wa miguu, baadhi yenu mnaweza siku moja kufa kwa mshtuko wa moyo au kuugua presha, msiikabidhi timu yenu haki miliki ya kushinda kila inapocheza uwanjani
 
Back
Top Bottom