Dar kuna viwanja viwili. Waache kutuchanganya kama vipi ofisi za tff zihamie huko huko gsm maana wameamua kuwa wamoja. Haiwezikani gsm wapange ratiba za mechi au kupanga wakachezee wapi. Mbao wameambiwa watapewa 10M na kiingilio chote chao. Kama waliweza kuhamisha ofisi zao kwenda gsm, nasema hata tff nae asione aibu ahamie tu kama Yanga alivyofumba macho maana wote wanazaminiwa na mpuuzi mmoja. Tumezoea kwani hata enzi za Malinzi walihamisha ofisi kwenda kwa Manji, kama ilivyokuwa mwaka ule mliweza kumtoa Ndanda Mtwara na kumleta Dar basi hakuna jipya.
Yanga msisahau sana Kumshangilia Mayele, Makambo na Chiko, kwani ni bora tuungane kumshangilia Kibu denis ili na sisi next AfCON tuwe na timu yetu. GSM anaua Taifa Stars haiwezikani wachezaji watatu tu wachezea timu ya Taifa. Wakati huo Simba ni Manura,Kapombe,Shabalala,Kenedy,Mkude,Dilunga,Mzamiru,Boko,Kibu Denis na Nyoni. Hesabu hao 11.
MAGODORO NA MPIRA WAPI NA WAPI? Ufundi mbao huo