Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kuna mengi ya kufuatiliaMimi ningeomba azam warushe na mazoezi ya yanga live tu.. Sisi tutafuatilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mengi ya kufuatiliaMimi ningeomba azam warushe na mazoezi ya yanga live tu.. Sisi tutafuatilia
Mashabiki wa Simba wataishangilia mbao. Unasemaje kuhusu hili?Mzee timu haziangalii nyumbani kwa timu pinzani. Mbao Mwanza ni nyumbani lakini mashabiki watakaojaza uwanja ni wa Yanga licha ya mbao kuwa nyumbani hivyo ile hamasa tu ya mashabiki inavhagiza wachezaji na timu kwa ujumla kuwa na morali ya mchezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo watakuwa wengi zaidi ya Yanga siyo? Mwanza ni ngome ya Yanga kama ilivyo Arusha ngome ya Simba. Labda kama wewe sio mfuatiliaji wa masuala ya football.Mashabiki wa Simba wataishangilia mbao. Unasemaje kuhusu hili?
KMC wakihamisha mechi zao huoni shida ila Yanga povu linakutokaDar kuna viwanja viwili. Waache kutuchanganya kama vipi ofisi za tff zihamie huko huko gsm maana wameamua kuwa wamoja. Haiwezikani gsm wapange ratiba za mechi au kupanga wakachezee wapi. Mbao wameambiwa watapewa 10M na kiingilio chote chao. Kama waliweza kuhamisha ofisi zao kwenda gsm, nasema hata tff nae asione aibu ahamie tu kama Yanga alivyofumba macho maana wote wanazaminiwa na mpuuzi mmoja. Tumezoea kwani hata enzi za Malinzi walihamisha ofisi kwenda kwa Manji, kama ilivyokuwa mwaka ule mliweza kumtoa Ndanda Mtwara na kumleta Dar basi hakuna jipya.
Yanga msisahau sana Kumshangilia Mayele, Makambo na Chiko, kwani ni bora tuungane kumshangilia Kibu denis ili na sisi next AfCON tuwe na timu yetu. GSM anaua Taifa Stars haiwezikani wachezaji watatu tu wachezea timu ya Taifa. Wakati huo Simba ni Manura,Kapombe,Shabalala,Kenedy,Mkude,Dilunga,Mzamiru,Boko,Kibu Denis na Nyoni. Hesabu hao 11.
MAGODORO NA MPIRA WAPI NA WAPI? Ufundi mbao huo
Kwaneri Utopolo.Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
Sio sifa hawa jamaa qana target kusajili wanachama mwanzaMchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
View attachment 2095050
Sawa nimeelewa hiyo no akili kubwaSio sifa hawa jamaa qana target kusajili wanachama mwanza
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
KMC wanapeleka mechi zao za ligi mkoa wanaojisikia, Yanga kupeleka mechi mwanza imekuwa nongwaDar kuna viwanja viwili. Waache kutuchanganya kama vipi ofisi za tff zihamie huko huko gsm maana wameamua kuwa wamoja. Haiwezikani gsm wapange ratiba za mechi au kupanga wakachezee wapi. Mbao wameambiwa watapewa 10M na kiingilio chote chao. Kama waliweza kuhamisha ofisi zao kwenda gsm, nasema hata tff nae asione aibu ahamie tu kama Yanga alivyofumba macho maana wote wanazaminiwa na mpuuzi mmoja. Tumezoea kwani hata enzi za Malinzi walihamisha ofisi kwenda kwa Manji, kama ilivyokuwa mwaka ule mliweza kumtoa Ndanda Mtwara na kumleta Dar basi hakuna jipya.
Yanga msisahau sana Kumshangilia Mayele, Makambo na Chiko, kwani ni bora tuungane kumshangilia Kibu denis ili na sisi next AfCON tuwe na timu yetu. GSM anaua Taifa Stars haiwezikani wachezaji watatu tu wachezea timu ya Taifa. Wakati huo Simba ni Manura,Kapombe,Shabalala,Kenedy,Mkude,Dilunga,Mzamiru,Boko,Kibu Denis na Nyoni. Hesabu hao 11.
MAGODORO NA MPIRA WAPI NA WAPI? Ufundi mbao huo
Kunywa maji mengi mkuu Yanga haikamatikiMashabiki na wapenzi wa yanga mnapaswa kuwa na adabu kwenye mpira wa miguu, baadhi yenu mnaweza siku moja kufa kwa mshtuko wa moyo au kuugua presha, msiikabidhi timu yenu haki miliki ya kushinda kila inapocheza uwanjani
Pole sana kwa maumivu unayopitia.Dar kuna viwanja viwili. Waache kutuchanganya kama vipi ofisi za tff zihamie huko huko gsm maana wameamua kuwa wamoja. Haiwezikani gsm wapange ratiba za mechi au kupanga wakachezee wapi. Mbao wameambiwa watapewa 10M na kiingilio chote chao. Kama waliweza kuhamisha ofisi zao kwenda gsm, nasema hata tff nae asione aibu ahamie tu kama Yanga alivyofumba macho maana wote wanazaminiwa na mpuuzi mmoja. Tumezoea kwani hata enzi za Malinzi walihamisha ofisi kwenda kwa Manji, kama ilivyokuwa mwaka ule mliweza kumtoa Ndanda Mtwara na kumleta Dar basi hakuna jipya.
Yanga msisahau sana Kumshangilia Mayele, Makambo na Chiko, kwani ni bora tuungane kumshangilia Kibu denis ili na sisi next AfCON tuwe na timu yetu. GSM anaua Taifa Stars haiwezikani wachezaji watatu tu wachezea timu ya Taifa. Wakati huo Simba ni Manura,Kapombe,Shabalala,Kenedy,Mkude,Dilunga,Mzamiru,Boko,Kibu Denis na Nyoni. Hesabu hao 11.
MAGODORO NA MPIRA WAPI NA WAPI? Ufundi mbao huo
Punguza makasiriko KMC wamezunguka mpaka Tabora huko hakuna malalamiko ila Yanga sasa mapovu kama yoteDar kuna viwanja viwili. Waache kutuchanganya kama vipi ofisi za tff zihamie huko huko gsm maana wameamua kuwa wamoja. Haiwezikani gsm wapange ratiba za mechi au kupanga wakachezee wapi. Mbao wameambiwa watapewa 10M na kiingilio chote chao. Kama waliweza kuhamisha ofisi zao kwenda gsm, nasema hata tff nae asione aibu ahamie tu kama Yanga alivyofumba macho maana wote wanazaminiwa na mpuuzi mmoja. Tumezoea kwani hata enzi za Malinzi walihamisha ofisi kwenda kwa Manji, kama ilivyokuwa mwaka ule mliweza kumtoa Ndanda Mtwara na kumleta Dar basi hakuna jipya.
Yanga msisahau sana Kumshangilia Mayele, Makambo na Chiko, kwani ni bora tuungane kumshangilia Kibu denis ili na sisi next AfCON tuwe na timu yetu. GSM anaua Taifa Stars haiwezikani wachezaji watatu tu wachezea timu ya Taifa. Wakati huo Simba ni Manura,Kapombe,Shabalala,Kenedy,Mkude,Dilunga,Mzamiru,Boko,Kibu Denis na Nyoni. Hesabu hao 11.
MAGODORO NA MPIRA WAPI NA WAPI? Ufundi mbao huo
Ruvushooting alipeleka mechi yake na Simba mwanza haikua shidaKMC wanapeleka mechi zao za ligi mkoa wanaojisikia, Yanga kupeleka mechi mwanza imekuwa nongwa
Mashabiki na wapenzi wa yanga mnapaswa kuwa na adabu kwenye mpira wa miguu, baadhi yenu mnaweza siku moja kufa kwa mshtuko wa moyo au kuugua presha, msiikabidhi timu yenu haki miliki ya kushinda kila inapocheza uwanjan
Waliowabeba mara 2 champions lg lakini mkatia aibu. Bambavuuuu.Kama kisa ni uwanja wa Mkapa kutumika, basi lingekuwa Kolo hapo lingetaka mechi iahirishwe hadi February mwishoni. Kama taifa tuna hasara sana kuwa na hawa jamaa kwenye ligi yetu!