Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

Wakati hata Namungo mlidhulumu la sivyo mlikuwa mmelala au unajisifu et PSG [emoji23][emoji23]
 
Yanga ya sasa hata ukitaka mcheze chumbani kwako atakufunga tu
Umesoma lakini hiyo Barua na Kuielewa au Umedemka ( Umehemka ) tu Kuchangia?

Hivi kama Yanga SC ndiyo Mwenyeji na Wao ndiyo wameomba Mchezo huo ukachezwe CCM Kirumba hawa ( hao ) Mbao FC wanahusika vipi na Kupanga Uwanja wa Kuchezea Mchezo huo?

Muwe mnaacha Kukurupuka mkiwa JF!!!
 
Na meneja wa uwanja ni shabiki wao na ni mchawi saa yule jamaa.
 
Sio bahati nao.
Meneja wa uwanja ni shabiki la utopolo na huwa linaingiza wachawi usiku ili kiuisaidia yanga
Yanga imekuwa ikitumia uwanja wa CCM Kirumba kama uwanja mbadala miaka na miaka...

Kirumba ni kama nyumbani mbadala kwa Yanga na wamekuwa na bahati nao...
 
Sio bahati nao.
Meneja wa uwanja ni shabiki la utopolo na huwa linaingiza wachawi usiku ili kiuisaidia yanga

Hahah, mkuu kwa hiyo wachawi ndio wanaifanya Yanga ishinde?

Huyo meneja ni wa kuanzia miaka ya zamani enzi za Mwinyi?
 
Mawazo kama haya huwa mnayatoa jikoni au stoo?
 
Yanga ni kama mwanaume anampeleka dem gesti yoyote.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kweli kabisa mtani.
Endeleeni kutamba nyinyi Utopolo muda mchache ujao kifurushi mlichojiunga kitakata mmebaki na mb's chache sana.
 
Mkuu ni wapi nimesema Mbao anahusika kuihamisha mechi kwenda Mwanza?? Mbona unanilisha Maneno? Sasa kati ya ww na mm nani amekurupuka?
 
Mara paaap mnasokomezwa mwiko nyuma![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini haiondowi ukweli kwamba Mbao Mwanza ndio nyumbani kwao, yani hata gharama za usafiri wanaokolewa.

Inabidi uwe shabiki maandazi tu usilione hilo.
Inaweza ikawa nyumbani kwao lakini wasiokoe gharama. Mfano, kama walikuwa wanatoka Songea kucheza na Majimaji ligi daraja la kwanza, itabidi wasafiri tu kutoka Songea hadi Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…