Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Hebu nionyeshe hilo shimo nikachukue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Kuteswa Kwa zamu na kuteseka Kwa zamu!ndo ilivyo shee watu hawawezi kufanana hii inatokana na the way you think hatuwezj kufikiri sawa.
Kuwasha sigara watu walikuwa wanatumia noti za shilingi ishirini. Noti inawashwa mot diyo inapelekwa kuwasha sigara.Kweli, Mwinyi kipindi anatawala nilikuwa mdogo sana,sikujua chochote
kweli pesa ya kujenga Barabara km50 wanagawana watu watano,watakosa pesa hao au ya kujenga shule inaliwa na watu watatu tu,pesa zipo bwana. miradi Ina ahirishwa Kwa visingizio mbalimbali ili fedha ichepushwe.Hakika umesema kweli kuna watu wana pesa daah ni hatari
Aisee hii comment yako mbona inaumiza sana mzee?kweli pesa ya kujenga Barabara km50 wanagawana watu watano,watakosa pesa hao au ya kujenga shule inaliwa na watu watatu tu,pesa zipo bwana. miradi Ina ahirishwa Kwa visingizio mbalimbali ili fedha ichepushwe.
unaumia wewe wao wanaona ndiyo vizuri lzm tofauti iwepo.ndiyo hao wanaoshangilia mama anaendesha nchi kidemokrasia na kupika data za uchumi kupanda, uchumi kuimalika,wakati shilingi yetu inaporomoka,inflation ikikuaAisee hii comment yako mbona inaumiza sana mzee?
Mimi huwa najiulizaga hivi Hawa mafisadi huwa wanajiskiaje wanapopita mitaani na kuona barabara mbovu na watoto wetu wanasoma kwenye shule ambazo hazina vyoo vya kutosha Wala madawati, wakati huo wenyewe wakiwa kwenye magari yao binafsi ya 400m waliyonunua kwa pesa walizoiba serikalini???? Hivi huwa wanapataje usingizi wakifahamu fika kabisa hata wao ni sababu ya taifa hili kuendelea kuwa maskini?
afrika mchawi wetu ni viongozi wetuAisee hii comment yako mbona inaumiza sana mzee?
Mimi huwa najiulizaga hivi Hawa mafisadi huwa wanajiskiaje wanapopita mitaani na kuona barabara mbovu na watoto wetu wanasoma kwenye shule ambazo hazina vyoo vya kutosha Wala madawati, wakati huo wenyewe wakiwa kwenye magari yao binafsi ya 400m waliyonunua kwa pesa walizoiba serikalini???? Hivi huwa wanapataje usingizi wakifahamu fika kabisa hata wao ni sababu ya taifa hili kuendelea kuwa maskini?
😂😂Ni kweli. Mjni tukipita na bajaji zetu tunapishana na ma lexus lx, gx, landcruiser zx, g wagon za milioni 900, defender matoleo mapya za milioni 300+, rangerover za kumwaga, ma escalade ya kutosha..
Kweli kabisa.Hela zipo kwa wenye connection na raia namba 1 iwe chawa au mteule.
Watu wana pesa jamani.
Kama za majini au za madili Mimi sijui ninachojua ni kwamba watu wana pesa sana.
Yawezekana mifumo ya sasa ni rafiki kwa watafutaji.
Tuombe Mungu asitokee tena mtu kama Magufuli aliyevurugavuruga uchumi wa wananchi na wananchi wakamshangilia.
Siko hapa kumsifia Rais Samia, Mimi sijawahi kumsifia binadamu mwenye pumzi kama Mimi.
Mtoto wa buku mbili enzi za Kikwete ulikuwa kindergartenWatu wana pesa jamani.
Kama za majini au za madili Mimi sijui ninachojua ni kwamba watu wana pesa sana.
Yawezekana mifumo ya sasa ni rafiki kwa watafutaji.
Tuombe Mungu asitokee tena mtu kama Magufuli aliyevurugavuruga uchumi wa wananchi na wananchi wakamshangilia.
Siko hapa kumsifia Rais Samia, Mimi sijawahi kumsifia binadamu mwenye pumzi kama Mimi.
Umezionea wapi nduguutoe konekksheni na sisi tuonje moo huto tuhelahelaa?Watu wana pesa jamani.
Kama za majini au za madili Mimi sijui ninachojua ni kwamba watu wana pesa sana.
Yawezekana mifumo ya sasa ni rafiki kwa watafutaji.
Tuombe Mungu asitokee tena mtu kama Magufuli aliyevurugavuruga uchumi wa wananchi na wananchi wakamshangilia.
Siko hapa kumsifia Rais Samia, Mimi sijawahi kumsifia binadamu mwenye pumzi kama Mimi.
Chukua chako mapema(CCM)Hatari.
Huu ni wakati wa chukua chako haraka
💯Japokuwa umetia chumvi kubwa Ila PESA ipo mtaani Ila kuipata inahitaji uwe na connection za wapiga deal . sio sijui umeajiriwa ni mwalimu ukategemea upepo ukupitie .
Bado kabisaaa man!!Mzunguko wa hela mtaani bado hueleweki..