Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Aisee hii comment yako mbona inaumiza sana mzee?
Mimi huwa najiulizaga hivi Hawa mafisadi huwa wanajiskiaje wanapopita mitaani na kuona barabara mbovu na watoto wetu wanasoma kwenye shule ambazo hazina vyoo vya kutosha Wala madawati, wakati huo wenyewe wakiwa kwenye magari yao binafsi ya 400m waliyonunua kwa pesa walizoiba serikalini???? Hivi huwa wanapataje usingizi wakifahamu fika kabisa hata wao ni sababu ya taifa hili kuendelea kuwa maskini?
Yaani ukitaka kujua hili, pita au ongea na wafanyakazi wa Halmshauri nyingi. Hawa jamaa hakuna wanachofikiria zaidi ya kuiba, na wao wameona hili ni swala la kawaida na lazima kabisa kama vile kujisaidia.
Wakurugenzi, yaani top to bottom , watu ni kama chawa. Soma ripoti ya CAG utaelewa ukubwa wa hili tatizo.