PreGE2025 Sasa kwanini Mtumie billioni 600 kufanya uchaguzi wakati ushijipa matokeo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa.

Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
IMG_1478.jpeg
 
Hapa tatizo lipo bado sana wananchi hawajui
Definition ya Democrasia pamoja siasa kwa
Ujumla wake
 
Kwani anashindana na nani hadi ashinde? Simba yupo magereza, siasa za ccm ni kama kikao cha wachawi usiku mnene
 
CHADEMA kinapenda kujikuza sana na kujiona ni kikubwa sana. Subirini 2030 mshiriki ,vyama vingine vimejipanga
 
Kauli hiyo ilimaanisha :
1. CCM imefanya maandalizi mazuri hivyo kwa maandalizi yaliyofanyika kwa tathmini ni kama imeshinda tayari imeshinda

2. Ilani ya 2020-2025 imetekelezwa kwa kishindo hivyo Chama kimeaminika sana na ni kama kimeshinda

3. Ilani 2025-2030 imebeba matarajio ya watanzania hivyo ni kama imeshinda

Hivyo Rais Samia kusema hivyo amezungumzia katika pande hizo
 
Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa.

Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
View attachment 3351569
Hizi ni lugha za siasa…. Kamq zilivyo wkrnye soka

Ndio maana kushabikia siasa ni kujitia uchizi tu

Hata ndumuz walisema wameshachukua dola
 
Kauli hiyo ilimaanisha :
1. CCM imefanya maandalizi mazuri hivyo kwa maandalizi yaliyofanyika kwa tathmini ni kama imeshinda tayari imeshinda

2. Ilani ya 2020-2025 imetekelezwa kwa kishindo hivyo Chama kimeaminika sana na ni kama kimeshinda

3. Ilani 2025-2030 imebeba matarajio ya watanzania hivyo ni kama imeshinda

Hivyo Rais Samia kusema hivyo amezungumzia katika pande hizo

Sawa chawa
 
Maandalizi mazuri kwa kuwateka, kuwafunga na kuwaua washindani wenu? Heri dingi yako angevaa mpira kuliko kuleta laana
 
Mhhh bilioni ngapi?? Mungu wangu...
Ila mnajua hao wanaokuja Dom kwny vikao vya cha huwa wanalipiwa kila kituu including chakula?
So nchi inaliwa mpk mifupa...
 
Hapa tatizo lipo bado sana wananchi hawajui
Definition ya Democrasia pamoja siasa kwa
Ujumla wake
Sasa hapo huwezi kulaumu wanachi ambao kwa makusudi serikali anataka wasijue maana halisi ya democracy wao serikali wanafafundisha aina yao ya democracy ambayo ni ya kipekee duniani.
 
Back
Top Bottom