PreGE2025 Sasa kwanini Mtumie billioni 600 kufanya uchaguzi wakati ushijipa matokeo

PreGE2025 Sasa kwanini Mtumie billioni 600 kufanya uchaguzi wakati ushijipa matokeo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHADEMA kinapenda kujikuza sana na kujiona ni kikubwa sana. Subirini 2030 mshiriki ,vyama vingine vimejipanga
Mbowe kesi ya UGAIDI
Lisu kesi ya uhaini
Rwakatare kesi ya ugaidi
Wabunge zaidi ya 10 wamekuwa toka chadema na kupewa vyeo ccm ikiwemo uwaziri !
Unaweza kutuambia maana halisi ya kujipa ukubwa?
 
Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa.

Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
View attachment 3351569
Ccm wanachotafuya ni uhalali tu kwamba uchaguzi ulifanyika,mengine yote ni wizi na upuuzi mtupu.

Mtu timamu mwenye akili hawezi kwenda kupiga kura kuhalisha hu ushetani wa kijani.
 
CHADEMA kinapenda kujikuza sana na kujiona ni kikubwa sana. Subirini 2030 mshiriki ,vyama vingine vimejipanga
Ukimaanisha matawi ya ccm mana kama hivyo mnavyo vingi tu na vitashiriki bila aibu ili kutengeneza maigizo feki ya demokrasia ili baadae muende kwa wazungu kuomba pesa kwa kisingizio mna demokrasia ya vyama vingi.

Pathetic
 
Siasa za Afrika mashariki ni pasua kichwa sana
 
Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa.

Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
View attachment 3351569
Bilioni 600 inatumika Kwa uchaguzi Batili. Hivi Tanzania hatunaga jeshi lenye watu makini wakufanya mapinduzi kuondoa utawala huu dhalimu au mkuu wa majeshi ni kada mtiifu. Kwa namna miundombinu mbinu ilivyo hivyo, huduma duni za afya, ukosefu wa ajira, si bora pesa hiyo muwekeze kwenye uchumi wa blue mtengeneze ajira zaidi ya 300,000. Yaani wametenga pesa kwa ajili ya kuzichota na kufanyia mambo yao, ardhi imelaaniwa kwa ajili yenu CCM watu msiopenda haki, wabinafsi, na walafu
 
Back
Top Bottom