Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Mbowe kesi ya UGAIDICHADEMA kinapenda kujikuza sana na kujiona ni kikubwa sana. Subirini 2030 mshiriki ,vyama vingine vimejipanga
Ccm wanachotafuya ni uhalali tu kwamba uchaguzi ulifanyika,mengine yote ni wizi na upuuzi mtupu.Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa.
Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
View attachment 3351569
Ukimaanisha matawi ya ccm mana kama hivyo mnavyo vingi tu na vitashiriki bila aibu ili kutengeneza maigizo feki ya demokrasia ili baadae muende kwa wazungu kuomba pesa kwa kisingizio mna demokrasia ya vyama vingi.CHADEMA kinapenda kujikuza sana na kujiona ni kikubwa sana. Subirini 2030 mshiriki ,vyama vingine vimejipanga
Bilioni 600 inatumika Kwa uchaguzi Batili. Hivi Tanzania hatunaga jeshi lenye watu makini wakufanya mapinduzi kuondoa utawala huu dhalimu au mkuu wa majeshi ni kada mtiifu. Kwa namna miundombinu mbinu ilivyo hivyo, huduma duni za afya, ukosefu wa ajira, si bora pesa hiyo muwekeze kwenye uchumi wa blue mtengeneze ajira zaidi ya 300,000. Yaani wametenga pesa kwa ajili ya kuzichota na kufanyia mambo yao, ardhi imelaaniwa kwa ajili yenu CCM watu msiopenda haki, wabinafsi, na walafuHakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa.
Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
View attachment 3351569