Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wote anayepinga ni mpumbavu mmoja tu anayeandika maneno ya kujirudia wakati wote. Laiti ningekuwa moderator mtu mpumbavu kama Bia Yetu nisingechelewa kumpiga burn.
Huyu ndiye malaya wa kisiasa!Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania wa hapo gheto unapovuta Bangi? Tambua kuwa watanzania wenye Akili timamu hawawezi kumchagua Mkoloni kaburu mweusi tokea chatoSisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Kipenzi gani wa watanzania anayesema hatopeleka miradi ya Maendeleo kwa wapinzani huku akisema atamgawa mama yake kwa mwanaume baada ya kupewa jogoo!!Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sanaAdui wa CCM ni smartphone na Internet.Hawatovisahau daima
Hahahaha kweli Aisee. Marehemu Ruge Mutahaba alisema ogopa Mungu na TeknolojiaAdui wa CCM ni smartphone na Internet.Hawatovisahau daima
Utawala wa kidikteta wana wasiwasi mno wanajua chadema wakiingia ikulu hali zao Izitadhoofika kwani ICC inawasubiri kwa hamu kubwaChato huku akisema hatopeleka miradi ya Maendeleo kwa wapinzani huku akisema atamgawa mama yake kwa mwanaume baada ya kupewa jogoo!!
Tundu Lissu atapigiwa kura na mamilioni ya watanzania ikiwemo wana Ccm waliochoka uuaji, utekaji na ubambikaji kesi!!
We piga kura ya uvumilivu eti wa Nchi inajengwa, Watanzania wengi watapiga kura ya kupunguza mfumuko wa bei ya bidhaa sokoni hasa Vifaa by ujenzi na bidhaa za vyakula na mazao ya chakula, wanafunzi wa sekondari wasichane tena karatasi daftarini kujibia mitihani ya mihula n.k,Kuondoa Serikali ongo inayochangisha michango hovyo hovyo ya Sekondari halafu ina jibrand kuwa imejenga shule na majengo kumba la,Kukataa maendeleo yanayoumiza watu,yanayonyonya Wanyonge na yanayowafanya Wananchi maskini zaidi, Kuondoa uongo wa miaka mitano wa tiba bure kwa wazee na watoto chini ya miaka 5 na bajeti hewa ya madawa hata Panadol tu problem mtajua hamjui yako mengi tu hadi ya Wafanyakazi na Wakulima.😀😀😀😀Kama kuna Mwaka ambao CCM yangu GENTAMYCINE 'itashinda' kwa 'Kishindo' kabisa basi ni Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Wiki ijayo tu. Mtakoma!
Tanzania haiwezi kuongozwa na msaliti wa Nchi
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Kumbe unasikia tu lakini Wewe binafsi hujashuhudia na 'Mimacho' yako hiyo Miikubwa kama Kende ( Pumbu ) za Nguruwe! Rais ni Magufuli pekee.Atatawala familia yake chato ingawa nasikia hadi huko hawamkubali
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sanaUshindi wa ccm hautokani na kura zetu wananchi bali unatokana na matumizi ya mtutu wa bunduki pamoja na vitisho lukuki
Wanajihisi kwa sababu wamefanya sana udhalimu kumbe Tundu Lissu wa watu amesema wala hatolipa kisasi na ataanzisha tume ya maridhianoUtawala wa kidikteta wana wasiwasi mno wanajua chadema wakiingia ikulu hali zao Izitadhoofika kwani ICC inawasubiri kwa hamu kubwa
Utawala wa kidikteta wana wasiwasi mno wanajua chadema wakiingia ikulu hali zao Izitadhoofika kwani ICC inawasubiri kwa hamu kubwa
Kipenzi gani wa watanzania anayesema hatopeleka miradi ya Maendeleo kwa wapinzani huku akisema atamgawa mama yake kwa mwanaume baada ya kupewa jogoo!!
Tundu Lissu atapigiwa kura na mamilioni ya watanzania ikiwemo wana Ccm waliochoka uuaji, utekaji na ubambikaji kesi!!
Kipenzi gani wa watanzania anayesema hatopeleka miradi ya Maendeleo kwa wapinzani huku akisema atamgawa mama yake kwa mwanaume baada ya kupewa jogoo???Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Bado unavuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba kukariri kuwa mtukufu magufuli Mkoloni kaburu mweusi atarejea ikulu? Tarehe 28 Taifa linapata uhuru upya CCM bye bye inaenda kuwa kama KANU ya kenyaKumbe unasikia tu lakini Wewe binafsi hujashuhudia na 'Mimacho' yako hiyo Miikubwa kama Kende ( Pumbu ) za Nguruwe! Rais ni Magufuli pekee.
Serikali ya awamu ya Tano kupitia wizara ya mambo ya nje ilisemaje juu ya operesheni ya Makonda dhidi ya Mashoga???Alaumiwe lissu kwa kutetea ushoga
Tanzania hatutaki ushoga,