Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Ila upinzani mngewaachia hao CCM wagombee wenyewe washinde wenyewe. Nyie muwe watazamaji tuu maana hata iweje watapita wao iwe kwa haki au dhuluma.
Itakuwa ngumu wakifanya hivyo! Na ruzuku wamuachie Nani?
 
Yerrico Nyerere ndiye mrithi wa Kingunge Ngombale mwilu wa sasa kwani ndiye mwanasiasa pekee anaye jipambanua kuwa ni Mpagani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 


Mara hii ata-forge jina lipi baada ya Makonda ili agombee ubunge??
 
Mara hii ata-forge jina lipi baada ya Makonda ili agombee ubunge??

Itabidi mahakama ifafanue Nani Ni Bashite na Nani Ni Makonda....

Ubunge ndio njia ya Makonda kupata uwaziri lkn awe makini... Anaweza kupotea kabisa ktk siasa...
 
Katika uchaguzi wowote ulio HURU na HAKI hakuna mgombea yeyote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeweza kushinda fairly katika ngazi zote kubwa i.e U-Rais na Ubunge wa jimbo lolote...!!

Huu ndiyo ukweli mchungu wanaopaswa kuujua wana CCM na mashabiki wao...

Na ikitokea wamebahatika kupata KURA chache, then, wanaweza kuambulia majimbo yasiyozidi 10 Tanzania nzima....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…