Omba MUNGU akujalie kifo kizuriTutakufa tu ila Mungu hapendi uonezi na hapendi mwanadamu kutengeneza maisha ya nani aishi na nani afe ili niweze kutawala vema.
Pamoja na manguvu yake lakini akafa na kuuacha upinzani ukiendelea. Tuishi duniani kwa kuheshimiana. Unajifanya una nguvu na kuongea kundi jingine unasahau na wewe ni binadamu. Very stupid.Hiyo ni sehemu ya kazi pia.
Wakati mwingine ukombozi damu inamwagika!
Wengine kusikia lazima damu ziwatoke masikioni.
Leo huo upinzani umelifanyia nini taifa mbona ni wachumia matumbo tu! Ulitegemea watu wa namna hiyo wafanyweje?
Huwezi kutaka maendeleo ubaki unawachekea watu wajinga kama hao unaowatetea! Lazima uonyeshe udume kwelikweli.
Shukuruni sana Mungu alimchukua mapema! Hakika mngenyooka tu.
Dont talk non senseSi mlisema Hana ubavu wa kuimaliza lakini. Mmeamua kupiga u- turn baada ya kuona Samia ni raisi Bora kumzidi rais yeyote aliyewahi kuongoza nchi hii
Miaka mingapi?Mbowe na wewe achia madaraka basi miaka yote hiyo
Tangu lini ibilisi akawa mzuri?ndio maana ya "Watu Wazuri Hawafi "
Toka nazaliwa hafi sasa na wajuuMiaka mingapi?
🤣🤣🤣 kwamba MAGUFULI alimuua mkapa??? Ili afute historia yake
Wewe ndio nasikia leo unajua ni nani aliekuwa anampigqnia MAGUFULI kama sio Mkapa??
Amini unachoamini wewe na Mimi niache niamini ninachoamini
Usitake nikae upande wa uwongo wakati
Nimeshuhudia viongozi wote
Kwanza Jf yenyewe umejiunga 2020
Labda naongea na kitoto cha
Asante kwa kuongea na mtoto wa 2004 nashukuru sana bwana mkubwa.Nikwambie kipindi Magufuri anajigamba kuwa Tanzania ya Magufuri mtu pekee wa kumkanya alikuwa hayati Benjamin Mkapa wengine Magufuri aliwaweka mifukoni.Kwa vile Magufuri hakupenda haki aliona kuwa uchaguzi wa 2020 kizuizi kikuu ni Mkapa hivyo akafanya kila namna ya kumpoteza na akafanikiwa.Alipomaliza tu kumzika Mkapa aliyemweka mjini akanza kujitapa na kula mahindi njiani ya kuchoma kwa sababu alijua nini amefanya.Na uchaguzi huo wa 2020 haijawahi tokea tangu enzi za mkoloni hadi ezi za Kikwete.🤣🤣🤣 kwamba MAGUFULI alimuua mkapa??? Ili afute historia yake
Wewe ndio nasikia leo unajua ni nani aliekuwa anampigqnia MAGUFULI kama sio Mkapa??
Amini unachoamini wewe na Mimi niache niamini ninachoamini
Usitake nikae upande wa uwongo wakati
Nimeshuhudia viongozi wote
Kwanza Jf yenyewe umejiunga 2020
Labda naongea na kitoto cha 2004
Punguza unafiki. Tangu lini muuaji akaenda mbinguni. Eti kwa kuita watumishi wa Mungu, be serious. Yani utese watu halafu ukikaribia kufa ndio ujifanye kuita paroko. Mungu hayupo hivyo, hafanyi kazi kwa mihemuko.Omba MUNGU akujalie kifo kizuri
Atleast Magufuli alifariki mbele ya Watumishi wa Mungu wakiwa wanamuombea
Omba na wewe Mungu akujalie hilo
kama mnyang'anyi wa arachuga eti kwa vile kaokoka anajifanya nabii 🐒Tangu lini ibilisi akawa mzuri?
Mambo ya chama yanaisha kichama kwa kuzungumza na wahusika walirudisha mali.ndo maana Mali za chama zinathamani ya sh trillion 1.50Nimeuliza specifically... kamati ya Bashiru ilitaja mali zote zilizokwapuliwa pamoja na majina ya wahusika waliokua zaidi ya 500. Kwanini kesi ya jinai haipelekwi mahakamani?
Niambie kwanini alishindwa? Ilihali mnamsifia alinyoosha mafisadi
Mungu ni mwema na ni Mungu wa wote.Hao watumishi machawa kama babu yangu Pengo hawatufai kwa sababu wanachangia 100% kuifilisi nchi.Omba MUNGU akujalie kifo kizuri
Atleast Magufuli alifariki mbele ya Watumishi wa Mungu wakiwa wanamuombea
Omba na wewe Mungu akujalie hilo
Nimekuiliza swali jepesi ila umeshindwa kujibu. Miaka mingapi? Unaanza hadithi za kuzaliwa na kuwa na wajukuu. Yani wewe ni mnafiki Sana. Hapo juu umedai wakati Nyerere akiwa Rais ulikuwa mdogo, Sasa nashangaa unaniambia wakati unazaliwa Mbowe alikuwa mwenyekiti wa CHADEMA. Umesahau kipindi Cha Urais wa Nyerere tulikuwa kwenye mfumo wa chama kimoja?Toka nazaliwa hafi sasa na wajuu
Badilisha jina toa demokrasia weka Familia itapendeza
Inasikitisha kwa kweli.Pamoja na manguvu yake lakini akafa na kuuacha upinzani ukiendelea. Tuishi duniani kwa kuheshimiana. Unajifanya una nguvu na kuongea kundi jingine unasahau na wewe ni binadamu. Very stupid.
Ooh kumbe ufisadi na jinai zinamalizwa ndani ya chama sio mahakamani.... basi ni halali hata mafisadi waliopo TRA kuendelea kuiba maana mambo ya TRA "yanazungumzika" ndani ya TRA!!Mambo ya chama yanaisha kichama kwa kuzungumza na wahusika walirudisha mali.ndo maana Mali za chama zinathamani ya sh trillion 1.50
Ha ha ha ha huyo jamaa ni bwege ina maana amezaliwa mwaka 2000 au?Nimekuiliza swali jepesi ila umeshindwa kujibu. Miaka mingapi? Unaanza hadithi za kuzaliwa na kuwa na wajukuu. Yani wewe ni mnafiki Sana. Hapo juu umedai wakati Nyerere akiwa Rais ulikuwa mdogo, Sasa nashangaa unaniambia wakati unazaliwa Mbowe alikuwa mwenyekiti wa CHADEMA. Umesahau kipindi Cha Urais wa Nyerere tulikuwa kwenye mfumo wa chama kimoja?
Jiulize mwenyewe ujijibu.Na wewe mbowe ukifa tutakukumbuka kwa lipi au kwa kumiliiki chama na kuongoza wapumbavu??
Narudia Tena, acheni kumlinganisha Nyerere na vitu vya kipumbavu.Akili zako ni ndogo sana .... HAKUNA KAMA JPM ALIKUTA NCHI IMECHAFUKA KIFISADI ...MFUMO MZIMA WA SERIKALI ULIKUWA CHINI YA RAIA FEKI NA MAFISADI..TOFAUTI NA NYERERE ...NYERERE KAPEWA NCHI IKIWA SAFI SANA KWENYE NYOYO ZA WATU.
Unaropoka tu. Eti tangu vyama vingi vianze. Ukiulizwa Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA tangu lini sidhani Kama utajibu. Endelea kujifurahisha.Basi Nyerere tumlinganishe na Mbowe maana mbowe yupo tokea vyama vingi vianze yeye ni mwenyekiti
Anaongoza chama cha Demokrasia🤣🤣🤣
Huyu kule Scandinavia angefungwa lile teso la eagle wings afu asubri mungu aje kumtoa ndo ungeelewa kwanini wenzetu walikubali Dini baada ya kuendelea cio wakati wanaendeleaKwa hiyo mnamchukia Magufuli kea sababu ni mkristo??
Ndio Watanzania tumefika huku