Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Mtaongea Sana, ila hakuna Kama Nyerere.
 
Kwa taarifa yako kama hujui mtu pekee aliekuwa tegemeo kwa Mgufuli ni Mkapa
Magufuli alikuwa kimbilio lake ni Mkapa ndio maana walipoanza kusuka mpango wa kumuua Magufuli walianza kuangusha nguzo zake kwanza ili iwe rahisi kuumua mpendwa wetu
Ila nakuhakikishia ipo siku mtajulikana tu waambie wenzio damu ya mtu haiendi bure
Haya ni maneno aliongea magufuli kwenye msiba wa mkapa


Mzee Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionyesha upendo, hata kwenye shida Mzee Mkapa hakuniacha kamwe, hakutaka nianguke, alinilea kama mtoto wake. Wakati wote alikuwa ananionyesha upendo, hivyo basi kuondoka kwake ni pigo kubwa kwangu, nimepoteza mtu muhimu katika maisha yangu.

Mkapa ndio ilikuwa nguzo ya Shujaa Magufulli ndio maana wahaini wakaanza naye mkapa
 
kaka huyo nyerere sijui mnamchukuliaje ila ndiye kiongozi ambaye amefanikisha hii nchi wengi kuwa mazezeta na wanasiasa wanajifanya kumpa bega ili kupata pop[ulality sababu amejengewa picha hiyo ni jamaa ambae hakuwa na future na muelekeo sahihi.
Hakuwa na future?. Wananchi walikataa mfumo wa vyama vingi ila Nyerere akiwa mstaafu akatumia Influence kuanzishwa, nani hakuwa na future? Makao makuu Dodoma nani kayabuni au Hilo bwawa la Nyerere nani alibuni? Maana ramani yake imechorwa tangu 1970's.

Tuache kuropoka kisa hatukuwepo Nyerere akiwa Rais.
 
Mikopo ya mashirika ya fedha mnaiabudu sana mtu asipokopa anayumbisha nchi
 
Magufuli atabakia kuwa Rais mwenye uthubutu katika historia ya nchiii na siyo karne wala miongo
Endeleeni na mashindano. Mara Rais Bora mara blabla nyingi. Kwangu Mimi Rais wa Karne baada ya Nyerere ni mkapa ambaye ndio alimuibua huyo Magufuli wenu.
 
structure ya ufisadi ni huyo Rais wako nyerere kutuwekea katiba mbovu na misingi ya woga ,,,pale hakuna Rais tulipigwa kwa kutengenezewa sifa nzuri.
Nyerere aliandika Katiba Mpya mwaka 1977 na kumfanyia marekebisho mwaka 1984 Kwa kuingiza haki za binadamu. Nyie mpaka Leo mmeshindwa kuandika katiba mpya miaka 24 tangu Nyerere afariki.

Mkiambiwa tuandike katiba mpya hamtaki ila lawama Kwa Nyerere. Mnamatatizo sio kidogo.
 
Mungu ni mwema na ni Mungu wa wote.Hao watumishi machawa kama babu yangu Pengo hawatufai kwa sababu wanachangia 100% kuifilisi nchi.
Asante kwa kuwatukana viongozi wa dini kisa wewe ni imani tofauti
Soma hapa


1 Petro 2:17: "Heshimuni wote, pendeni ndugu wa kiroho, mwogopeni Mungu, mheshimuni mfalme." Hii inatuonyesha kwamba tunapaswa kuheshimu kila mtu, ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini nyingine, wakati tunawajibika kwa Mungu.
 
Nimependa hapo uliposema aliwanyoosha. Ila mwisho wa siku akanyooka yeye. Tutembee kwenye ardhi kwa nidhamu na kuacha madharau Kama ya mwendazake.
 
Nasema hivi, hata Iddi Amin tunamkumbuka. Hivyo kukumbukwa sio issue, ninachojua Mimi Magu alikuwa kiongozi muovu. Zingatia, wazuri hawafi.
 
Toka mfumo wa vyama vingi uanze 1992
Hadi leo huyu si dicteta tukimpa nchi huyu hatoki hadi afe
 

Ila nyie wanafiki Sana. Alipopotezwa Ben Saanane mliongea maneno ya dhihaka kana kwamba hakustahili kisa ni CHADEMA, the Same kwa lwajabe na Gwanda. Hata Lissu alipomiminiwa riasisi mliongea kwa dhihaka. Ila Magufuli alipofariki kwa matatizo yake ya moyo mnajifanya kushutumu watu kuwa wamemuua. Kifo Cha Magufuli kiwe somo, unapoua watu jua na wewe utakufa.
 
Nasema hivi, hata Iddi Amin tunamkumbuka. Hivyo kukumbukwa sio issue, ninachojua Mimi Magu alikuwa kiongozi muovu. Zingatia, wazuri hawafi.
Wewe utakumbukwa kwa lipi? Au kwa kugawa tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…