Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
structure ya ufisadi ni huyo Rais wako nyerere kutuwekea katiba mbovu na misingi ya woga ,,,pale hakuna Rais tulipigwa kwa kutengenezewa sifa nzuri.Nibora kuwa na uchumi mbovu kuliko kuligeuza taifa kuwa genge la wahuni wa wafisadi nyerere kaacha nchi safi sana ...kama nyerere alishindwa kiuchumi siyo kosa kosa ni kuigeuza nchi kuwa pango la mafisadi na wahuni
Asante, Sasa susha munkari maana dhalimu Yuko ahera anaendelea na moto. Sioni kisichoeleweka hapo.🤣🤣🤣 pole
Yeye anaongelewa kwa sababu amekufa akiwa madarakani na kazi zikiwa zinaendeleaWamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hela za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mstaafu alilia.
Na wewe punguza makasaliko shujaa ameacha historia tutamkumbuka daimaAsante, Sasa susha munkari maana dhalimu Yuko ahera anaendelea na moto. Sioni kisichoeleweka hapo.
Huendi MbonguniSamia amekufa akiwa hai
Kwenye maelezo yangu umeona neno 'mnyonge'?Mjinga ni wewe uliyekuwa unafirahia kuitwa MNYONGE
Tupo wengi ndio
Na aliacha watanzania Bado 75% Hawajui kusoma na kuandika pia..Nibora kuwa na uchumi mbovu kuliko kuligeuza taifa kuwa genge la wahuni wa wafisadi nyerere kaacha nchi safi sana ...kama nyerere alishindwa kiuchumi siyo kosa kosa ni kuigeuza nchi kuwa pango la mafisadi na wahuni
..pia uwezo wako kiakili ni mdogo sana ukumbuke mabeberu usipo yasujudia na kupingana nayo yatakufanyia figisi ...nyerere alipingana na unyonyaji wa mabeberu africa nzima na mengine aliyaua kwa njia mbalimbali kama kuunda majeshi ya ukombozi africa..pia ukumbuke vita vya uganda ..pia ukumbuke nyerere kapokea nchi mikononi mwa wakoloni hata asilimia zaidi 85 ya watz walikuwa awajui hata kusoma na kuandika...
Ukabila ganiSawa Mungu awabariki sana ila tunaomba msipende sana kuendekeza ukabila.
Nyerere Rais bora kuwahi kutokea asilimia 90% ya Watanzania wanaongea Kiswahili na wanajua kusoma na kuandika kwa sababu ya maono yake yaliyotukuka.Na aliacha watanzania Bado 75% Hawajui kusoma na kuandika pia..
Na kuhusu Vita ya Uganda na Tanzania hiyo tuiache kwa sababu hakuna sababu ya Vita iliyokuwepo..
Usidanganyike na Story unazosikia mtaani..
Story uliyowahi kuisikia kuhusu Iddi amini hazina uhalisia hata moja
Hongera shilingi ina pande mbili inategemea wewe unapendelea nini uongo au ukweli?Ukabila gani
Mimi sio msukuma na wala sina chama ila napenda maendeleo
Kiongozi yoyote anaependa maendeleo mimi nitampenda
Hakika.Huyo ndiye hasa Baba wa taifa na ataendelea kuishi mioyoni mwa watanzania
Mungu aliamua ugomvi,acheni visingizio.Watanzania wengi tulitamani kumuona Rais wetu JPM anamaliza awamu zake zote 2 .
Sasa tumebaki na matamanio ya je angemaliza Tanzania ingekuwa wapi sasa
Na wengi tunaamini tungekuwa mbali sana
Ila waliotuweza walituweza hasa
Asante Mungu kwa maisha ya mtumishi wake JPM
Tutamlilia daima
Hayo ni mabadiliko ya kawaida ya tekinologia unadhani hata asingeruhusu Tanzania ingekuwa vile vile?????Wewe ndo hujui.
Sisi tunajua Mwinyi alitutoa kwenye kuvaa viraka, kupanga foleni kununua unga nk
Kama atakavyowachukua na wao soonest 2025 hawafiki wote walioongea kashfaMungu aliamua ugomvi,acheni visingizio.
Mungu aliamua ugomvi,acheni visingizio.Watanzania wengi tulitamani kumuona Rais wetu JPM anamaliza awamu zake zote 2 .
Sasa tumebaki na matamanio ya je angemaliza Tanzania ingekuwa wapi sasa
Na wengi tunaamini tungekuwa mbali sana
Ila waliotuweza walituweza hasa
Asante Mungu kwa maisha ya mtumishi wake JPM
Tutamlilia daima
Mbona hayo hayakufanyika kipindi cha Nyerere kama ni mabadiliko ya kawaida?Hayo ni mabadiliko ya kawaida ya tekinologia unadhani hata asingeruhusu Tanzania ingekuwa vile vile?????
Mtoto tu anazaliwa hajui chochote anaanza kutambaa na badae anatembea
Acheni sifa za kijinga
Mungu yupo kwa ajili ya wote haonei mtu ila mtu hujidhuru kwa matendo yake mwenyewe.Kama atakavyowachukua na wao soonest 2025 hawafiki wote walioongea kashfa
Tupo hapa tutajuzana
Hata wao wamejidhuru kwa maneno yao Israel anaenda kuwatembelea soon nitakutag hapaMungu yupo kwa ajili ya wote haonei mtu ila mtu hujidhuru kwa matendo yake mwenyewe.
Ninathamini ukweli kwa sababu unatoa msingi imara kwa maisha yenye maana na uhusiano wenye uaminifu. Uongo unaweza kuleta matokeo mabaya na kuvuruga uhusiano. Kwa hivyo, napendelea ukweli kila wakati, hata kama inaweza kuwa ngumu kwa wakati fulani."Hongera shilingi ina pande mbili inategemea wewe unapendelea nini uongo au ukweli?