Sasa nimeamini kuwa akutukanae hakuchagulii Tusi, Asante sana Rais Samia....!!!

Rais anasimama na kulopoka tu ajira zipo lakini hazitaji kwasababu yeye anapewa kila kitu bure kupitia kodi za wananchi na bado mshahara anapata juu. Hanunui mafuta ya gari, halipi dereva, halipi kodi ya nyumba, hanunui vocha , hanunui mavazi. Halafu analeta maneno rahisi tu.
 
Magufuli c alikuwa dikteta na mama anaupiga mwingi,.. haya twendeni tu na asiye dikteta
 
Ulijinadi kuwa umesoma chuo bora Tanzania, sasa unashindwaje kuziona fursa kedekede zilizopo Tanzania.
Kwa andiko lako hili basi hujapata elimu BORA bali umepata BORA elimu huko chuoni kwenu St...
Kwa mtu alie elimika sawasawa Tz kuna fursa nyingi sana wala hazijajificha.
Hakafu raisi SSH hakuzungumzia wazanzibar bali vijana wa Tanzania ba hata lile kongamane lilikuwa na vihana wa Tanzania sio wazabzibar pekee.
Gentamycine jifunze kufanya critical analysis usiwe unakurupukia habari, umeishajitangaza kuwa wewe ni msomi wa chuo bora hivyo tunatarajia tuone ubora katika uchambuzi wa mambo.
Naunga mkono kauli ya raisi kuwa TZ kuna fursa nyingi na maraisi wote wamewahi sema hivyo hivyo.Kama vijana mnasubiri muwekewe pesa mfukoni mtasubiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…