Sasa nimeamini kuwa akutukanae hakuchagulii Tusi, Asante sana Rais Samia....!!!

Sasa nimeamini kuwa akutukanae hakuchagulii Tusi, Asante sana Rais Samia....!!!

Bahati nzuri ...tukija kwenye uhalisia..

Na yeye ni wa huko huko pamoja na huyu mwenzie...

Yaani wote ni wa huku huku ..mrima..

Sasa sijui ndio mtajua Kama hamjui au ndio hamjui Kama hamjui ..au mnajua Kama hamjui...

Mwisho wa maji ni tope wakuu...

Uvumilivu na subra ni muhimu kwa sasa..

Maana jiwe mlimwona shetani ..sasa huyu mnaanza kumuona ni Jini ...wakati ndio Kwanza kaja ki roboti roboti....

Rimoti ipo huku bara...

Hangaya sio schwaziniga..lkn ananesa Kama Jeti-lii...
 
Wengine sisi NI madereva ukitaka reseni si chini ya laki 1 na nusu ndo upate reseni.
Haya Basi tufungulieni milango tutoke tukatafute hata nchi jirani ukienda kuomba passport maswali kibao Kama upo polisi na bila laki 2 haupati passport.
Sasa mnataka tufanye kazi gani ?
Au ndo ile ya kuokota makopo mtaani ndo anasema kazi kibao?
Ndio kazi anazosemea mama uokote mafurushi ya makopo kwa kila kilo sh.400! Hizi ndio ajira wanazojisifia nazo kina nanii au zile za kushinda kiwandani kulipwa 5,000. Per day!
 
Kwahiyo East Africa Television wamedukua Twitter Account yake Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Mkuu? Acha Bange / Bangi basi sawa?

Nipo serious katika hili na Utani hapa sitaki usije Kunikwaza nikakupa Dozi zangu.
Acha mikwara mbuzi wewe! Acheni kumsingizia hawezi kusema kitu kama hicho. Haiwezekani!
 
Inshort uchaguzi urudiwe tu watu waingie kupiga kura maisha yaendelee.
Makamu wa rais angelikuwa kassim na hapo hapo kukaimu nafasi ya marehemu na kuwa rais wa JMT ucngethubutu kusema "Kipengele cha Makamu wa Rais kisiwepo"
 
Ndiyo tatizo la wabongo,,,,ukishajiona umesoma unaona aibu kufanya mishe zingine,,,miaka yote iyo unasubiri uvishwe suti na tai+mokaz!!!!! Eti natafuta boda Boda mahali ambapo sifahamiki nikawe Boda Boda 😁 acheni kuchaguwa kaxi,,,,,hata kusafisha vyoo piga tuu mzehe.
😅😅😅😅😅😅
 
Kuna graduate Ana watoto 3 namfaham, Ana advanced diploma in accounting, Na other course, alipoteza Ajira baada ya kampuni alipokuwa anafanya Kazi kufilisika.

Kapambana Kwa miaka 3 toka 2017, akaniambia brother, mambo magumu, pita pita kumwangalia shemeji yako, natafuta boda Boda mahali ambapo sifahamiki nikawe Boda Boda.

Kwa kweli laiti angalijua Hakuna fursa bila mahangaiko mengi Sana Na kujali asingethubutu kutukana wadau wanaohangaika!
Noma
Kweli
 
Hata wazanzibar piaa wengi ni wavivu wa kazi,,,,inshort waafrika hususani watanzania wengi siyo watu wa kazi,,washazoea kukaa nyumbani
Tangaza hata kesho kuna kazi ya kupanga perves airport malipo elfu 10 kwa lisaa kazi ya masaa 10 per day.Vijana wenye degree ni highly recommended.

Uone nyomi la majobless itakayokuzungukia hapo halafu useme vijana ni wavivu kwenye kazi.
 
Nchi hii inafikirisha sana.
Rais anapopewa madaraka anakuwa kipofu na haoni tabu za watu wake, anageuka msimangaji.
Ninampa pole jinsi anavyolikoroga kila siku.

Nilitofautiana na jiwe mara nyingi lakini sasa tuko chaka zito na mbele ni giza/kiza totoro.
Mama vipi anaupiga mwingi sana eeh
 
Kwa upande mwingine,,,wabongo wengi wanachaguwa kazi, na wengine co watu wa kazi, ni watu wa kukaa nyumbani na kutegemea wazazi wawahudumie.
Mkuu wewe kazi ya buku 2 kwa siku unafanya? Kula kwako nauli kwako...

Tusiongee tu kama watu ambao hatuna akili! Kuna familia na watoto wa kulisha na kusomesha hayo utayafanya kwa buku 3 per day?
 
Kazungumzia chawa kwani we chawa wa mwanasiasa yeyeto,kama siyo chawa hayakuhusu
 
Kitambulisho Cha uraia na kupigia kura BURE.
Ila reseni na passport "HELA"
Ndio kazi anazosemea mama uokote mafurushi ya makopo kwa kila kilo sh.400! Hizi ndio ajira wanazojisifia nazo kina nanii au zile za kushinda kiwandani kulipwa 5,000. Per day!
 
Back
Top Bottom