Sasa nimeamini kuwa akutukanae hakuchagulii Tusi, Asante sana Rais Samia....!!!

" Vijana wengi tukimaliza kusoma tunasubiri ajira, lakini hatuhangaiki kutafuta fursa za kazi, kazi ziko nyingi sana Tanzania, ni vijana kuchakarika kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia,"- Rais
@SuluhuSamia

Chanzo: EastAfricaTv

Natamani mno kujua Wahenga waliposema kuwa aliyeshiba huwa hamjui mwenye Njaa waliona au walimaanisha nini labda.

Nimeamini Wazanzibari wanajua sana Kutukana Watu 'Kirejareja' na bila shaka Wazanzibari wote ( wa Unguja na Pemba ) wana Ajira ( Kazi ) na wale tusio na Kazi ( Ajira ) ni Sisi Wazanzibara ( tutokao huku Tanzania Bara ) pekee.

Sijui ni kwanini GENTAMYCINE natamani sana Katiba Mpya ipatikane Tanzania na Kipengele cha Makamu wa Rais kisiwepo bali kiwe tu cha Rais na kwamba ikitokea Rais amekufa basi ama Uchaguzi Mkuu ufanyike au Waziri Mkuu apande haraka kuwa Rais na kamwe siyo Makamu wa Rais aje kuwa Rais.

Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Uko sahihi, tukienda hivi tuendavyo lazima tutumbukie shimoni.
 
Nakupenda sana. unajua kwa nini nakupenda? kwa sababu unajiamini kama mimi.
 
Kazi ziko nyingi ni kweli,ila sisi tunataka kuajiriwa tu,kuuza makande,kuuza chipsi ni sehemu tu ya kazi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wengine sisi NI madereva ukitaka reseni si chini ya laki 1 na nusu ndo upate reseni.
Haya Basi tufungulieni milango tutoke tukatafute hata nchi jirani ukienda kuomba passport maswali kibao Kama upo polisi na bila laki 2 haupati passport.
Sasa mnataka tufanye kazi gani ?
Au ndo ile ya kuokota makopo mtaani ndo anasema kazi kibao?
Wewe!!!??? [emoji44][emoji44][emoji44]
 
Back
Top Bottom