GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" Vijana wengi tukimaliza kusoma tunasubiri ajira, lakini hatuhangaiki kutafuta fursa za kazi, kazi ziko nyingi sana Tanzania, ni vijana kuchakarika kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia,"- Rais
@SuluhuSamia
Chanzo: EastAfricaTv
Natamani mno kujua Wahenga waliposema kuwa aliyeshiba huwa hamjui mwenye Njaa waliona au walimaanisha nini labda.
Nimeamini Wazanzibari wanajua sana Kutukana Watu 'Kirejareja' na bila shaka Wazanzibari wote ( wa Unguja na Pemba ) wana Ajira ( Kazi ) na wale tusio na Kazi ( Ajira ) ni Sisi Wazanzibara ( tutokao huku Tanzania Bara ) pekee.
Sijui ni kwanini GENTAMYCINE natamani sana Katiba Mpya ipatikane Tanzania na Kipengele cha Makamu wa Rais kisiwepo bali kiwe tu cha Rais na kwamba ikitokea Rais amekufa basi ama Uchaguzi Mkuu ufanyike au Waziri Mkuu apande haraka kuwa Rais na kamwe siyo Makamu wa Rais aje kuwa Rais.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.