Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

Nimeona hilo na kuna watu humu wamesema wazi wazi kabisa kuwa Tatzo ni uislamu...

Kwakweli tuna safari ndefu ya kufika tuendako maana kama hawa ndo vijaana wa nchi hii basi kazi ipo....
 
Yeah imerekebishwa na ndo hivyo vipengele nilivyoweka hapo
Jifunze uelewe,
Hakuna mkataba uliobadilishwa, ile IGA ni makubaliano na bado yapo yamesimama, hii sasa ndio mikataba mahususi ambayo serikali ilikuwa inasema itaingia ambayo itaspecify kila kitu, ila kwa ujinga wetu hatukutaka kuelewa na ndo mana kina mwabukusi, TEC, CHADEMA wakapinga sanaaaa,

Nakumbuka kuna siku Zito alisema IGA ni karatasi tu la kufungia vitumbua ila mikataba inayokuja ndo ya muhimu
 
We pindisha tu, ila mabadiriko yote sababu ni waraka wa TEC..!! Hutaki acha..!!
 
Mkuu ndio Maana Ya IGA kuwepo kabla ya HGA kuwepo ukijua kazi za hii mikataba miwili utajibu swali lako
Braza unless umeuona mkataba ulivyoandikwa then bado hapo hujanishawishi. I am an accountant and I know I can manipulate the data and not even the auditor can unmask. Nitaaminije nitakachopewa wakati Sina watu ndani?
 
Mlamba asali umeshavimbiwa na asali unakuja kuropoka humu[emoji3]
 
Naelewa na nimeshaeleza post za nyuma Na Nikushauri wewe usome na uelewe zaidi Tofauti ya IGA na HGA na ioi inanguvu kuliko nyingine..
Nilichoeleza ni kuwa IGA imefanyiwa ammendments tayari ili mikataba ya HGA ipate nafasi ya kusainiwa
 
Nimeona hilo na kuna watu humu wamesema wazi wazi kabisa kuwa Tatzo ni uislamu...

Kwakweli tuna safari ndefu ya kufika tuendako maana kama hawa ndo vijaana wa nchi hii basi kazi ipo....
Tuna safari ndefu saa ya kwenda, lakini naamini hizo ni heri kubwa. Uislam ndiyo unapata kujulikana uzuri wake.

Kwa yale aliyoongea jana CEO wa DP World, labda ni mjinga tu asiyeelewa.

Kasema DP World siyo uboreshaji wa bandari tu, Dp Worlld ni ustawi (prosperity) wa Tanzania.

Huo ndiyo Uislam.
 
Ukweli mchungu ni kwamba mapendekezo yote ya TEC yamefanyiwa kazi, wewe bibi na waislam wenzio mliousifia na kusema hauna kasoro yoyote kisa wawekezaji ni waislam jana mmevuliwa nguo na mwislam mwenzenu mama Samia. Polen sana, TEC 3- Faiza 0. Hii imeenda, kula chuma hiko bibi
 
Hapana hilo nakataa Walivyoona vina mushkeli vyote vimerekebishwa ulitaka wafanye nini waendelee kuilaumu serikali kwa kurekebisha?
Uwongo bwana,lengo lako ni kuliondolea aibu tec,unazunguka unadhani tu wajinga,toka mwanzo ilisemwa muda wa mkataba utatajwa kwenye hga,unataka kusema iga ilisema hawatolipa kodi?!..mnahangaika sana akina roma locuta
 
Braza unless umeuona mkataba ulivyoandikwa then bado hapo hujanishawishi. I am an accountant and I know I can manipulate the data and not even the auditor can unmask. Nitaaminije nitakachopewa wakati Sina watu ndani?
I know sasa Mkataba wa IGA ni kati ya Nchi na nchi nchi Na mkataba wa HGA ni kati nchi mwanachama wa IGA na host Government ambayo inafanyiwa Tukio..

Sasa Jut imagine makataba wa kwanza wa IGA umesema nchi itakayoingiza hasara italipa 20% ya hasara unafikir Nchi shiriki itaruhusu wewe uingize hasara ...
Na ndo maana nikakuambia kwamba Ndo maana xha kwanza kilisainiwa kwanza IGA (intergovernment Agreement) kabla ya HGA (Host government Agreements)
 
Uwongo bwana,lengo lako ni kuliondolea aibu tec,unazunguka unadhani tu wajinga,toka mwanzo ilisemwa muda wa mkataba utatajwa kwenye hga,unataka kusema iga ilisema hawatolipa kodi?!..mnahangaika sana akina roma locuta
Inama nikusweke Mimi sio Mkristo wala si chochote nachosemq ni kilichotokea
 
Itakua hukwenda shule.
Hahaha sikwenda mkuu niliishia darasa la pili ila nilikataa historia ya uongo ya kupandikizwa chuki hivyo nikapata historia yenye facts na ukweli wenye ushawishi..
Usionipandikiza chuki zisizo na sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…