DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #61
Nimeona hilo na kuna watu humu wamesema wazi wazi kabisa kuwa Tatzo ni uislamu...Tatizo siyo Waarabu, tatizo Waislam. Ingekuwa huyo Mwarabu anaitwa George Elias, wala usingesikia malalamiko, ungeona anasifiwa.
Hii nchi wajinga ni wengi.
Mama samia ni kichwa, unafikiri hata TEC, nia na madhumuni ilikuwa ni uchokozi tu wa wazi, kwani walishindwa kuongea na serikali kimya kimya.
Hata TEC imewauma jana, nilikuwa nawatazama walivyovimbisha nyuso.
Kwakweli tuna safari ndefu ya kufika tuendako maana kama hawa ndo vijaana wa nchi hii basi kazi ipo....