Tunasubiri kuchangamkiwa kwa fursa hiyo ili dunia ijirudi.Njaa imeanza kutusambaratisha.Si Afrika si Ulaya sote tuko hoi.Hii dunia mpaka Biden kamshindwa Putin.
Bila kumuomba wangekufa njaa.
Putin akiwa kiranja wa dunia tutaishi raha mustarehe
Kwamba dunia nzima unategemea chakula kutoka Ukraine?Tunasubiri kuchangamkiwa kwa fursa hiyo ili dunia ijirudi.Njaa imeanza kutusambaratisha.Si Afrika si Ulaya sote tuko hoi.
ndo manaake ,meli yetu waliyozamisha ,pesa itatoka hapohapo bandarini ,ili tutqngeneze nyingine kubwa zaidi ya hiyo waliyozamisha .Halafu kodi bandarini anachukua Urusi!
Wana utaaramu gani, wakashindwa kuilinda na wakashindwa kuitoa ktk kuzama uko?ndo manaake ,meli yetu waliyozamisha ,pesa itatoka hapohapo bandarini ,ili tutqngeneze nyingine kubwa zaidi ya hiyo waliyozamisha .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa itawezekanaje wakati tunaambiwa Urusi inefirisika
Meli yenu ilozamishwa ipi?ndo manaake ,meli yetu waliyozamisha ,pesa itatoka hapohapo bandarini ,ili tutqngeneze nyingine kubwa zaidi ya hiyo waliyozamisha .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole sana najua unateseka ila acha putin asambazie chakula mabwana wenu baada ya masharti yake kukubaliwa.putin siku zake zinaesabika
Siyo kodi tu ye ndio anauza hizo nafaka tena kwa mataifa ambayo sio adui kwa Urusi, kwa NATO kibano kipo palepale!!Halafu kodi bandarini anachukua Urusi!
vile wayukreni wa buza mnavyohesabu siku za putin.putin siku zake zinaesabika
Misri walipelekewa meli moja ya ngano wakadai makaratasi ya mzigo.Haijulikani kama waliicha ikarudi Urusi au walichukua bidhaa.Sasa itakuwa rahisi kupewa mzigo na makaratasi yote wanayotakaSiyo kodi tu ye ndio anauza hizo nafaka tena kwa mataifa ambayo sio adui kwa Urusi, kwa NATO kibano kipo palepale!!