Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Urusi imesema kuanzia sasa meli zitakazopenda kwenda na kuondoka bandari za bahari nyeusi zilizokuwa za Ukraine ni ruhusa kufanya hivyo na zitapatiwa kila aina ya ulinzi ili zibaki salama.
Hayo yamesemwa na wizara ya ulinzi ya Urusi wakati ikiwa imefanikiwa kuzishika bandari hizo muhimu kwa usafirishaji wa chakula duniani.
Kauli hiyo imekuja huku raisi Putin wa Urusi akiwa ametia saini tamko la kurahisisha mwananchi yeyote wa Ukraine katika majimbo iliyoyateka kuomba na kupatiwa uraia wa jamhuri ya Urusi.