secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mwenye kuishikilia roho yake mkononi na aishikilie, kwa maana tunajua vile wanafunzi hufanya humu kipindi cha holiday.
Nasanzuka 😎.
Nasanzuka 😎.
Mwenye kuishikilia roho yake mkononi na aishikilie, kwa maana tunajua vile wanafunzi hufanya humu kipindi cha holiday.
Nasanzuka 😎.
😁😁😁View attachment 3606004
Nina mtaji wa billion 5, naombeni ushauri nifanye biashara gani wakuu!
😂😂, Dah!View attachment 3606004
Nina mtaji wa billion 5, naombeni ushauri nifanye biashara gani wakuu!
Hakika.Miaka 30 kumbukeni iko pale pale
Kuna wahuni saa hizi wamewasha teevee wanacheki movies tu.These people are more than terrible!Mwenye kuishikilia roho yake mkononi na aishikilie, kwa maana tunajua vile wanafunzi hufanya humu kipindi cha holiday.
Nasanzuka 😎.
Ngoja tumsitiri kwannz hadi aje mwenyewe.Mimi na Seran na ndugu yangu secretarybird tushamjua anaepigwa vidole na yupo humu JF😁😁
Hizo mada za kifalafala zinazohamsha hasira zitakua kipindi hiki kwa wingi kuna huyu darasa la 3 C anaitwa baharia 1 ndio mada zake za kifalafala muda wote naona sasa atakua amewaita wenzie wa darasa la 2 C waje wachafue ubaoTukubali tu mkuu, sasa tutafanyeje wakati watoto wenyewe tumewazaa 😁.
Mpenzi wangu amenuna kisa sijamtumia meseji ya asubuhi ,naombeni ushauriView attachment 3606004
Nina mtaji wa billion 5, naombeni ushauri nifanye biashara gani wakuu!
Asubuhi asubuhi?!Kuna wahuni saa hizi wamewasha teevee wanacheki movies tu.These people are more than terrible!
Wewe tunakujua mimwenyej sana humu na hujawah kuvuta bangi..View attachment 3606004
Nina mtaji wa billion 5, naombeni ushauri nifanye biashara gani wakuu!
Sasa niwafanye nini?Ukiwabughudhi tu,mwenyekiti wa mtaa kafika.Akishindwa suluhu watanipeleka polisi kwa unyanyasaji na kuminya haki za watoto.Sipendi kuwekwa kwenye list ya watu wasiotakiwa USA.Asubuhi asubuhi?!
🤔.
Hahaha mnanijuaje sasa?Wewe tunakujua mimwenyej sana humu na hujawah kuvuta bangi..
Ni watu wazima hawahwa akili kisoda!Sidhani kama kuna watoto wa sekondari humu
Acha waje tu tutawapokea kama walivyokujaMwenye kuishikilia roho yake mkononi na aishikilie, kwa maana tunajua vile wanafunzi hufanya humu kipindi cha holiday.
Nasanzuka 😎.