kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Linden watoto wenu, kwa mliokuza hadi wamefuka secondary na kuendelea !
Machali yanavuta sana bangi, fegi, yanakula ugoro plus kupiga visungura alafu unakuta mtoto mdogo form 3 !
Viibinti vinatomaswa na kutoa kabisa bado vidogo, kwa ushawishi wa vitu vidogo vidogo ama peer groups ......
Pia hizi simu janja mnawapa za nini ? Ni mwanzo wa kuharibikiwa
Tuwalinde