Sasa shule zimefungwa, tutegemee kuona mengi humu

Tukubali tu mkuu, sasa tutafanyeje wakati watoto wenyewe tumewazaa 😁.
Hizo mada za kifalafala zinazohamsha hasira zitakua kipindi hiki kwa wingi kuna huyu darasa la 3 C anaitwa baharia 1 ndio mada zake za kifalafala muda wote naona sasa atakua amewaita wenzie wa darasa la 2 C waje wachafue ubao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…