kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Biashara ya photo studio, na hizo swags hamna manzi utaacha piga na mishangazi kama yote.View attachment 3606004
Nina mtaji wa billion 5, naombeni ushauri nifanye biashara gani wakuu!
Kmmk ππView attachment 3606004
Nina mtaji wa billion 5, naombeni ushauri nifanye biashara gani wakuu!
Wala sio mbali ππMiaka 30 kumbukeni iko pale pale
ππ Wana subiri waambiwe kaka Jose /Abdullah chai tayariKuna wahuni saa hizi wamewasha teevee wanacheki movies tu.These people are more than terrible!
ππππMpenzi wangu amenuna kisa sijamtumia meseji ya asubuhi ,naombeni ushauri
Biashara ya photo studio, na hizo swags hamna manzi utaacha piga na mishangazi kama yote.
Najua vile ambavyo watoto hudai haki yao huko mamtoni. Cha kufanya we waache tu waangalie tivii muda wote hadi shule ifunguliwe.Sasa niwafanye nini?Ukiwabughudhi tu,mwenyekiti wa mtaa kafika.Akishindwa suluhu watanipeleka polisi kwa unyanyasaji na kuminya haki za watoto.Sipendi kuwekwa kwenye list ya watu wasiotakiwa USA.
Matusi hayarusiwi humu kaka.Acha waje tu tutawapokea kama walivyokuja
Uzuri washatuwekea jukwaa huru la matusi, la kutukana matusi yote kwa mtu yeyote bila kufungiwa
Hakuna shida
Cc Robert Heriel Mtibeli