Umenena mzee wangu!Mkuu, kwenye hii dunia angalau ukifanikiwa kuchekesha mtu mmoja, unakuwa umefanya jambo kubwa sana kwani tunapaswa kuwa chanzo cha furaha kwa watu wengine na sio vinginevyo.
Huwa kwa kawaida watu wema hawakubaliki mbele ya watu madhalimu, ndivyo ilivyo. Mfano mtu anataka kudhulumu halafu wewe utokee unataka kusimamia haki, unatarajia mtu huyo akukubali?Nguvu kubwaa Sana inatumika ila ukweli HAKUBALIKI HATA
Mkuu, Mzee Kikwete ndiye aliyeanzisha mchakato wa Katiba mpya huku akisisitiza kuwa angetamani ipatikane kabla hajamaliza muda wake. Sasa hakuwa na sababu ya kuanzisha mchakato kisha aukwamishe mwenyewe , kwakuwa kufanya hivyo ni sawa na kujenga nyumba ili uibomoe wakati una uwezo wa kutoijenga kabisa.Hizo mbio unasema ziliishia ukingoni ni kwasababu ya huyo Kikwete ambae ndio anamshauri vibaya Samaia kuwa acheleweshe katiba mpaka baada ya 2025!!!
Azizi Mussa ,
..mtoa mada umetudharau wasomaji wako.
..hivi kweli unaweza kulinganisha uvumilivu na ustaarabu wa Uhuru Kenyatta na ukasema amezidiwa na Samia Suluhu?
..umesahau jinsi Samia Suluhu alivyomshambulia na kumfukuza kazi Spika Job Ndugai kwasababu wametofautiana kimtizamo?
..Je, Samia Suluhu angeweza kumvumilia Makamu wa Rais kama William Ruto kama alivyofanya Uhuru Kenyatta.
..Juzi viongozi wa Bavicha wamekamatwa huko Manyara kwasababu ya kukusanyika ktk kijiwe cha kahawa halafu unasema Tanzania tunafanya siasa za usawa na ustaarabu?!
Nakubaliana na wewe mkuu. Umesema kweli tupu.Uhuru Kenyata kaiga uvumilivu huo toka kwa Jakaya Kikwete
Jakaya alivumilia Kashkash za kina Lowassa ikiwemo kuwavumulia kina Sofia Simba waliofikia hatua ya kutoka hadharan na kupinga Msimamo wa Mwenyekiti wake wa Taifa na Rais wa Jamhuri kwny mchakato wa uchaguzi 2015
Jakaya aliwavumilia kina Samweli Sitta kwny U Spika pamoja na vurugu zake zote alizima Jaribio la Mzee Yusuph Makamba la kumnyang'anya Kadi ya Chama 2009
pamoja na fitna zote na vijembe vya kina Warioba na Butiku aliwapa fursa ya kihistoria ya kuwa kwny Tume ya Kuandaa Rasimu ya Katiba akamuacha Prof Isaa Shivji aliekuwa pendekezo la mfumo wakati huo
pamoja na 'utoto wote' wa kina Chadema bado aliwavumilia
aliwavumilia Wahafidhina wa Kisiwandui waliopinga kwa nguvu zote CCM kuteua Rais kutokea Pemba (Dr Shein)
bado alivumilia vitimbi vya wahafidhina waliopinga kuundwa kwa Serikali ya mseto visiwani
Mama anajitahidi sana ndugu. Ukitaka kujua mama anajitahidi nenda Uganda, Burundi na Rwanda utajua maisha yako juu kiasi gani. Rwanda Kagame kawazip watu wake midomo wooote kuanzia mtoto anayezaliwa mpaka mzee wa 90s. Pale hakuna mtu anayetaja jina la Kagame kama sio kusifia. Otherwise utajua hujui tena hujui sana. Hata bei pale hutakiwa kuuliza we ni kulipa na kutembea.Siasa safi ni kuwafanya wananchi wapate mkate wao na maisha yanayotabirika
Siasa ya kuwafanya wananchi wawe na njaa, haijawahi kupendwa na mtu hata mmoja
Labda huko juu keki inakoanzia!
Mkuu, Mzee Kikwete ndiye aliyeanzisha mchakato wa Katiba mpya huku akisisitiza kuwa angetamani ipatikane kabla hajamaliza muda wake. Sasa hakuwa na sababu ya kuanzisha mchakato kisha aukwamishe mwenyewe , kwakuwa kufanya hivyo ni sawa na kujenga nyumba ili uibomoe wakati una uwezo wa kutoijenga kabisa.
Mkuu ni kweli vitu kupanda bei ni tatizo. Lakini tunachotakiwa kujiuliza ni kwa nini vinapanda, na nani ana uwezo wa kuzuia upandaji huo na kivipi? lakini kuna wenzangu na mie wazee wa kulaumu, basi wanalaumu yoyote kwa chochote, hapo wanajisikia ka 'raha' flani hivi moyoni hahahahah.Mama anajitahidi sana ndugu. Ukitaka kujua mama anajitahidi nenda Uganda, Burundi na Rwanda utajua maisha yako juu kiasi gani. Rwanda Kagame kawazip watu wake midomo wooote kuanzia mtoto anayezaliwa mpaka mzee wa 90s. Pale hakuna mtu anayetaja jina la Kagame kama sio kusifia. Otherwise utajua hujui tena hujui sana. Hata bei pale hutakiwa kuuliza we ni kulipa na kutembea.
Kabisa ndugu, hii kupanda bei ya vitu waangalie kwanza chanzo ni nini? Na je ni Tanzania tu? Mafuta kwa Tanzania yako unafuu kulingana na wenzetu maana hata yanapatikana ila lawama ndo kila siku kwa mama. Pia bei ya mafuta ya kula ilianza kupanda sana kipindi cha Hayati Magufuli mpaka yakaadimika baada ya kuongeza kodi kwa waagizaji. Lakini kwasababu mama yupo wanamtupia lawama. Ila ndo hivyo ukubwa jalala.Mkuu ni kweli vitu kupanda bei ni tatizo. Lakini tunachotakiwa kujiuliza ni kwa nini vinapanda, na nani ana uwezo wa kuzuia upandaji huo na kivipi? lakini kuna wenzangu na mie wazee wa kulaumu, basi wanalaumu yoyote kwa chochote, hapo wanajisikia ka 'raha' flani hivi moyoni hahahahah.
Ujue wakati wa chaguzi au kuelekea chaguzi; kuna saikolojia za aina mbili kuhusu ushindi kwenye siasa.
Saikolojia ya kwanza ni ya wale wanaoamini kwenye kushinda kwa namna yoyote ile. Yaani hawa wao, kwao la muhimu ni kushinda, uhalili wan jia zilizotumika, wahanga na hasara zilizo au zitakazojitokeza kutokana na na michakato n.k kwao sio muhimu. Mara nyingi hawa hawaoni shida kudhulumu au kufanya chochote kizuri au kibaya ili kushinda kisiasa. Kwa bahati mbaya wenye saikolojia hii, mara nyingi uwezekano wa kushinda ni mkubwa na wanashinda kwa 100%, lakini wanakuwa hawana furaha kwa sababu ya makandokando yanayoambatana na mchakato.
Aidha, Kundi la pili ni wale wanaoamini kuwa raha ya ushindi ni kushinda kwa njia za haki, halali , zinazokubalika na kila mtu aone kabisa haki ilivyotendeka huku ukipunguza au kuepuka kuumiza au kuzalisha wahanga bila ulazima wa kufanya hivyo.
Kwa uadilifu na matendo yake, kwa kujiamini tunweza kusema Rais mama Samia anaamini kwenye ushindi na mafanikio ya kisiasa yanayopatikana kwa njia za haki na ndio maana anafanya siasa za ushawishi na kufanya mambo ya maana yanayokubalika katika ulimwengu wa kistaarabu ili hata kama ukitokea/ukifika uchaguzi ashinde kwenye uchaguzi huru na haki na kila mtu awe shahidi kuwa haki imetendeka.
Inaendelea.........................
Azizi Mussa ,
..mtoa mada umetudharau wasomaji wako.
..hivi kweli unaweza kulinganisha uvumilivu na ustaarabu wa Uhuru Kenyatta na ukasema amezidiwa na Samia Suluhu?
..umesahau jinsi Samia Suluhu alivyomshambulia na kumfukuza kazi Spika Job Ndugai kwasababu wametofautiana kimtizamo?
..Je, Samia Suluhu angeweza kumvumilia Makamu wa Rais kama William Ruto kama alivyofanya Uhuru Kenyatta.
..Juzi viongozi wa Bavicha wamekamatwa huko Manyara kwasababu ya kukusanyika ktk kijiwe cha kahawa halafu unasema Tanzania tunafanya siasa za usawa na ustaarabu?!
Kama hayo mnayosema ni kweli kwanini analeta janja janja na kuunda genge la kuhalalisha kuchelewasha katiba mpya mpaka baada ya yeye kuiba uchaguzi 2025? Kama kweli ana nia nzuri tupate Katiba mpya mapema ili ikifika 2025 kutakuwa na level playing field!!
Hayo mazungumzo na Chadema ni danganya Mbowe tu lakini hayana nia njema kwa nchi.
Bila kusahau aliyemuweka Mbowe ndaniAzizi Mussa ,
..mtoa mada umetudharau wasomaji wako.
..hivi kweli unaweza kulinganisha uvumilivu na ustaarabu wa Uhuru Kenyatta na ukasema amezidiwa na Samia Suluhu?
..umesahau jinsi Samia Suluhu alivyomshambulia na kumfukuza kazi Spika Job Ndugai kwasababu wametofautiana kimtizamo?
..Je, Samia Suluhu angeweza kumvumilia Makamu wa Rais kama William Ruto kama alivyofanya Uhuru Kenyatta.
..Juzi viongozi wa Bavicha wamekamatwa huko Manyara kwasababu ya kukusanyika ktk kijiwe cha kahawa halafu unasema Tanzania tunafanya siasa za usawa na ustaarabu?!
NIUWE!Mahaba
Mtu, kwa sasa upinzani hawana hoja yoyote ya maana zaidi ya katiba mpya ambayo iko wazi sana na tayari inafanyiwa kazi. Tunachotofautiana ni kuhusu utaratibu tu.Kwa taarifa yako huyu mama unamuona mstaarabu maana hajakutana na ushindani wa kisiasa, wala uchaguzi wowote. Kama angekuwa na ustaarabu huo unaompamba nao, asingeendelea na katazo haramu la vyama vingine kufanya siasa kwa uhuru. Leo hii upinzani wakianza kufanya siasa na akaona kabisa anaingia kwenye ushindani halisi, lazima rangi yake halisi itaonekana. Kwa mtu asiyejua lolote ndio unaweza kumlisha hii Hadaa.
So kwa uelewa wako uzalendo maana yake ni ukosoaji? Well ! ukosoaji wa kujenga unakaribishwa na ni jambo jema.Yaani tumekuwa nabia ya kuwa Wazalendo kwa Watawala na si kwa Nchi...
Haka kaugonjwa ni mwanzo wa kutokuwa na fikra pevu na kuwa watazamani na si wachezaji, washangiliaji na si wakosoaji...
The Future is Scary...