SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

..km mtu hapendi kusemwa au kutukanwa juu ya yale anatendea watu akiwa kwenye nafasi ya umma, jibu analo yeye mwenyewe..ondoka kwenye hiyo nafasi! hutasikia mtu anakuongelea tena!aliyetekwa si mtoto wa mbowe, alitekwa sativa..na km wewe una uhakika viongozi wa chadema wanahamasisha watu kupambana na dola, why don't you deal with them direct?
 
Tukana basi hayo matusi tuone kama kweli hayapaswi kutamkwa hadharani.
 
Unaongea maneno Kama Masheikh wa kuchonga...Porojo nyingi kuhusu Mungu na mwili umejaa chale.
Hakuna kitu cha maana kama Neema na Baraka za Mungu kujaa ndani ya mwili na roho ya mwanadamu..

hubabishwi na kumbwelambwela na yoyote bana, ni fulu uhakika na kila mpango mwema mbele yako, ushirikiana ni vichekesho tu kwako 🤣
 
Moja ya maneno ambayo kama Lucas akiamua kuyashika atafanyikiwa ikiwa atayaacha hapa hapa basi atajutia sana baadae kama sio yeye ni mtoto wake au kizazi chake
 
Huyo kunguni wa mama hayo yote anao muda wa kufikiria sasa?

Yani maajabu tu, huyo Edgar katekwa mwezi wa 6 kapatikana mbugani ambapo kuna checkpoint kuingia na kutoka ajabu waliomteka bado hawajajulikana na aliingia mle akiwa katika gari la watekaji.

Sasa leo huyu darasa la 7 anaamrisha division 4 tena wakamteke huyo mtu, hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali Edgar sio tishio kwa usalama wa nchi waanze kudeal na wale wezi wanaoibia nchi mabilioni.
 
We ni mwendawazimu, tunalipa kodi matokeo yake zinatafunwa na wachache matumizi makubwa na ya anasa, huwezi kujadili sababu unalaana ya milele unawaza uteuzi ili uibe mali za umma upate utajiri wa haraka. Shame on you wewe shetani
Kodi zetu zinatumika vizuri sana.ndio maana unaona serikali ikitoa elimu bure kuanzia awali hadi kidato cha sita.imeongeza bajeti ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi kutoka Billion 250,ujenzi wa Bwawa la mwalimu Nyerere ambalo lipo tayari kwa kila kitu,ujenzi wa SGR,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 300,ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 21,ujenzi wa miundombinu ya barabara kufikia km zaidi ya 91 elfu,vijiji zaidi ya elfu 11 kati ya vijiji elfu 12 vimeunganishwa kwa umeme. Ajira zimetolewa kwa vijana maelfu kwa maelfu. Na mengine mengi.hayo ni kwa uchache tu maana nikikupa mengi najua ukachaganyikiwa kulingana na akili yako ndogo navyoifahamu.
 
Mwambieni aache kutukana matusi.maana hayatamfikisha mahali popote pale wala matusi siyo ushujaa
 
Gentleman,
hakuna cha ubora wala kukaa kimya hasa pale ambapo ukweli unahitajika sana dhidi ya mihemko.

Namuhurumia sana mtukanaji na mporomosha matusi kwa maneno dhidi ya mujibu matusi kwa vitendo, aise ni hatari sana na ni kujiangamiza kizembe sana 🤭


hayo mengineyo ni porojo na story za pata potea za kupoteza muda tu gentleman 🐒
 
Taifa letu linaendeshwa kwa kufuata na kuzingatia misingi ya sheria na Utawala bora.kama kuna mtu anaona hajatendewa haki mahali fulani.anayo nafasi ya kukusanya ushahidi na kwenda mahakamani.matusi ya nguoni hayakubaliki na hayawezi kuvumilika katika jamii iliyostaarabika
 
Matusi aliyotumia jana kumtukana IGP hayakubaliki wala kuvumilika hata kidogo.ni ukiukwaji na uvunjifu mkubwa sana wa sheria na maadili yetu na kwa jamii yoyote ile iliyostaarabika haiwezi kukubali matusi ambayo anatukana huyu jamaa.ambaye mimi nahisi anamatatizo kichwani mwake yanayohitaji matibabu ya dharura.
 
Mdude ameshadhibitiwa na haka kafuate Ili wakakatunze mahala salama
 
Tangia lini wafanyabiashara wanatetewa na watu wasiojitambua ilihali wana viongozi wao na jumuiya zao.
 
Perhaps he's in a state of a DEAD MAN WALKING..........
Which it might describe someone who is emotionally detached or going through the motions in life, feeling lifeless or without purpose.
atasaidiwa kwa kupewa matibabu ya kisaikolojia akishakuwa amekamatwa na daktari kuthibitisha kuwa anamatatizo kichwani mwake.
 
Mwambieni aache kutukana matusi.maana hayatamfikisha mahali popote pale wala matusi siyo ushujaa
Mimi siungi mkono matusi.

Ila matusi yamekuja kutokana na tukio alilofanyiwa je waliomfanyia hilo tukio wamekamatwa?

Imepita miezi 5 sasa waliomfanyia hilo tukio hawajakamatwa na polisi wapo kimya kwanini usipaze sauti hao watu watafutwe na kukamatwa kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…