Lucas leo nikuambie kitu muhimu pengine hukifahamu, tuko hapa duniani si kwa ajili ya pesa, pesa haiwezi kukupa kila kitu..kitu muhimu kwa maisha ya binadamu ni DESTINY wewe uko hapa duniani kupitia wazazi wako, na wewe utakuwa mzazi pia Mungu ametuumba hivyo..kamwe usiwe chanzo cha matatizo kwa generation yako kwa sababu ya matendo unayofanya sasa..wewe umekuwa mtetezi wa watu hata km ni viongozi waache wajitetee wenyewe..wewe huwezi kujua mioyoni mwao hao unaowatetea wanawaza nini, maneno unayosema mengi ni ya upotoshaji hayawezi kupotea..km si ya baraka ipo siku yatakurudia wewe au generation yako! uwe mwangalifu..usichukulie rahisi rahisi, FIKIRI kabla ya kusema..ningekuelewa unapomuongelea sativa juu ya matamshi yake km ungeeleza pia kinachomfanya atamke maneno hayo..mbona hakuwa hivyo miaka ya nyuma?? sativa alinusurika kifo, lakini ametaja watu waliomfanyia hivyo...je, wamehojiwa?? acha kuchukuliwa hatua.. lakini pia mtu anapokuwa na dhamana kwenye ofisi ya umma, lazima atambue lolote analofanya km halipendezi lazima litakosolewa na kushutumiwa na huwezi kupangia watu maneno ya kusema..km hutaki usemwe ondoka kwenye hiyo nafasi uepuke kutukanwa! Usimlaumu sativa, wafundishe wanaotukanwa wawe wavumilivu, lakini watende MEMA ili wasitukanwe!