SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Bro, naomba hii comment iwe ya mwisho kwako mana naona hatuelewani.

Mm nampinga yeye kutumia matusi kupata haki yake na sio kwamba nasapoti alichofanyiwa.
Em angalia hiyo screenshot hapo juu.

Uwe na siku njema mkuu.

Pendekeza atumie njia gani?

Pendekeza Hammas watumie njia ipi zaidi ya ugaidi kukabiliana na Israel ambayo inanguvu kwa kila kitu?
 
Huyo Mungu ni danganya toto kwanza hauwezi thibitisha uwepo wake .


Kuporomosha matusi pande zote tu, huwa mnafanya hivyo hasa hasa kwa wale wanaoona ugali wao unaguswa kwa upande wenu gentleman πŸ’
Isingekua Mungu nisingekua hivi nilivyo sasa gentleman, ni nina hakika na kila mpango wangu dhidi ya chochote kufanikiwa..

rejea simulizi yangu ya kugombea ubunge mara ya kwanza nikiwa na laki5 cash. Unadhani ningeenda kuporomosha matusi kwa wananchi kama wengine wanavyofanya leo nigekua kitu kweli?

we ng'ang'ana na ushirikiana wako tu, utajikuta kila wakati mihemko, makasiriko, ghadhab na kuporomosha matusi ndiyo ndugu zako, walio na Mungu ndani yao wanapeta tu na maisha 🀣
 
Watu wengi tunamuunga mkono Sativa katika bifu lake na polisi. Lakini amekosa busara kabisa. Ni kama mtu ambaye si mzima kichwani.
Mkuu unafikiri risasi ipenye nyuma ya kichwa itokee mbele ya mdomo ni jambo dogo ? Hata kama kachanganyikiwa walio mfanyanyia lile tukio nao wanahusika kwenye kuchanganyikiwa kwakeπŸ€”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Mwaka gani uligombea ubunge ukapigiwa kura na wananchi dhidi ya mpinzani wako ? Kwa sababu wabunge wasasa hakuna asie jua walipita bila kupigwa gentleman πŸ’
 
Kile kiwango cha ukatili alioa yiwa ulikiona?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Mwaka gani uligombea ubunge ukapigiwa kura na wananchi dhidi ya mpinzani wako ? Kwa sababu wabunge wasasa hakuna asie jua walipita bila kupigwa gentleman πŸ’
Gentleman,
miaka yote ya uchaguzi nchini, wananchi wa vyama vyote vya siasa nchini, hunipigia kura na kunipatia ushindi wa kishindo, na sina shaka yoyote,

2025, nikiwa sambamba na Dr.Samia Suluhu Hassan kupitia CCM, wananchi wa Jimbo langu katika umoja wao, na kwa Neema na Baraka za Mungu, watatuchagua kwa kishindo kikuu ili tupate fursa ya kuwafanyia kazi ya Maendeleo kijamii, kiuchumi, kisiasa, Kitaifa na kimataifa πŸ’
 
Lazima uwe na uelewa kuwa huyo kijana SATIVA ameathirika kisaikolojia baada ya kuteswa na kutupwa porini ili aliwe na fisi.
Kitu kinachoweza kufanyika ni kumpeleka hospitali achunguzwe afya ya akili.
Siyo kila kitu polisi wanaweza kufanya.
 
Mpuuzi mkubwa wewe, unajiona wewe ni nani wa kuwaambia polisi nini cha kufanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…