huwezi kushindana na wenye nguvu ukabaki salama , aliyechoma picha kashinda kesi kaamua kujiteka ili apete kiki zaidi za kuambiwa changanya na zakwakoNi kweli kabisa mkuu hii mivutano na vyombo vya Dola haito msaidia kitu na kiujumla mivutano hii anayo ifanya mwisho wake sio mzuri.
Si kweli mkuu.Ndio naona huyu bwana mdogo hana tena kitu cha kupoteza maana kama ni uhai/kifo kashachungulia kaburi...
Si kweli mkuu.
Anauhai ambao bado upo pia anafamilia na bado anatamani kuishi kithibitisha hilo kakimbia nchi na anaishi kama panya sasa.
Mkuu uhai ni kilakitu haijalishi tunapitia mangapi mkuu ndo maana tukinusurika na hatari yoyote Tunamshukuru Mungu na kuomba ulinzi tena.
Mimi nilitegemea watu wangeshawishi mamlaka kuchukua hatua, wanakwambia dogo akae kimya apotezee. Unaweza kuona namna gani uelewa na elimu kuhusu utawala wa sheria unawapiga wengi chenga. Ulimbukeni ni silaha ya wanasiasa na ndio maana Afrika haiponi janga la ujinga.Nimesoma comment za mwanzo nikasema kweli tz mapoyoyo yamejaa kibao!??!.Mtu kapigwa kaumizwa.. kawtambua watu walio mfanyia unyama ule lakini hakuna hatua zinachukulia anaamua kupiga kelele..inatokea mbuzi mbulukenge mazafanta inasema ohooo dogo anapotea dah.....kweli tumelogwa.Hii nchi mtu anaweza akatuuza na hakuna atakaye sema lolote maama imejaa machizi yaan yanawogaaa na heshima za kipuuzi ....
Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi.
Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya Tshs. 135,000/= kwa muda wa siku tano kulipia matangazo hayo.
Ifuatayo ni nukuu kutoka kwenye ukarasa wa X wa Sativa:
MULILO TIME YO SHINE.🔥
Mnalipa CHAWA 20k wanichafue.
Mimi nawalipa INSTAGRAM kuaniaka uchafu wenu.
@tanpol u messed w/ GEN Z.
Budget $50 = 135,000/= TSH.
Duration: siku 5.
@tanpol shindaneni na Technology.😁
Let's Cruise🤝
Mwisho wa kunukuu.
Ni kweli kwamba mivutano na vyombo vya dola haitaweza kumsaidia kitu cha maana Sana, lakini kwa upande mwingine ni kwamba Vyombo vya Dola navyo havionyeshi hata chembe ya dalili njema kuwa aidha wanajutia kuhusishwa na vitendo hivyo vibaya au wameanza kujirekebisha mienendo yao mibaya ya kuteka, kutesa na kuua Watu raia wema, mienendo ambayo imekuwa ikilaaniwa na Watu kila siku. Je, katika hali Kama hii Wananchi unafikiri wanatakiwa wafanye nini ili kukabiliana na hali hiyo??Ni kweli kabisa mkuu hii mivutano na vyombo vya Dola haito msaidia kitu na kiujumla mivutano hii anayo ifanya mwisho wake sio mzuri.
Na wapumbavuComments zinaonyesha vile tulivyo wanyonge, dhaifu na waoga.
huko ni kuuchezea mwili wako ambao ni wa thamani kuliko hayo anayoyapigania kwanza unaipigania tanzania unaijuwa? ishi kawaida maliza siku zako kwa amani nenda unataka uishi kwa mateso maisha yenyewe mafupi unajitesa bure watu wenyewe unaosema unawapigania wala hawana habari na wewe ni ujinga huoduniani akuna atakayedumu milele ata miaka 100 atufikishi.
nimependa Sana attitude Yake nidhamu ya uoga kwakwe aipo Nampa hongera Sana na napenda kizazi changu kiwe kama hivi.
Nyeusi nyeusi nyeupe nyeupe uoga wa nini atakayekupiga risasi ufe akakutupe mtoni uliwe na mamba Leo alipwe mamilioni ya pesa kesho yeye atakufa na ukimwi akuna aishie milele mtu anapocheza na uhai wako ata kama ni rais wa nchi deal nae nginja ngija Kwa mungu akuna rais.
hakuna mwenye msuli wa kufanya hayoWatekaji wanawatengeneza wakina Hamza wengi bila kujijua..hawa wanakimbilia mitandaoni wengine watafanya kituo cha Puerto Rico kuwa majivu tupo hapa..
Je, hilo ndio litakuwa suluhisho sahihi juu ya tatizo analolalamikia? Vipi kuhusu nafuu ambazo anapaswa kuzipata kutokana na madhara makubwa Sana ambayo amepata??Sativa aombe uraia mahali akakae huko aendelee na maisha yake ya mapambano.....
Ni kweli kabisa unachosema.Watekaji wanawatengeneza wakina Hamza wengi bila kujijua..hawa wanakimbilia mitandaoni wengine watafanya kituo cha Puerto Rico kuwa majivu tupo hapa..
Kwa yale aliyopitia unataka akae kimya kweli ebu tuacheni ubinafsi au kwa sababu kile kikombe hujapitia wewe ndo maana unaongea kirahisiIla sativa afya yake ya akili sio nzuri
Huyo jamaa ni mjinga sana na ndo kundi kubwa la watanzania wako kama yeyeMawazo yako siafikiani nayo. Kwamba binadamu tuogope kuanika maovu kwa sababu ya kuogopa kuuawa. Dunia imefika hapa ilipo kwa sababu ya watu majasiri kama Satifa. Woga hauna nafasi. Yaani mtu walipanga kuumua, akapona kimuijuza halafu eti aogope kutetea haki kwa sababu ya woga. Hvi unajua kuna wengi tu wanakufa kwa sababu ya kuogopa kama unavyotaka wewe?
Sativa hana cha kupoteza mimi namsupport kwa asilimia 100Je, hilo ndio litakuwa suluhisho sahihi juu ya tatizo analolalamikia? Vipi kuhusu nafuu ambazo anapaswa kuzipata kutokana na madhara makubwa Sana ambayo amepata??
I'm in unshakable view that running away from the problems is not a way of solving them.
Ni kweli kabisa unachosema.
Hivi vyombo vinavyotuhumiwa kuhusika na vitendo vya utekaji, utesaji na mauaji ya watu kwa hakika vinasababisha janga kubwa sana la kuwepo kwa kujengeka kwa chuki kubwa Sana kati ya Wananchi dhidi ya watawala. Siyo Siri hata kidogo, ipo chuki kubwa sana Kati ya raia dhidi ya Serikali/watawala hususani Jeshi la Polisi, Tiss na watawala wa kisiasa ambao moja kwa moja wanaonekana wananufaika kutokana na kuwepo kwa vitendo hivi vya utekaji Watu na kuwaua. Watu/raia Wana hasira sana dhidi ya vitendo hivi vya utekaji, hali ya kutaka kulipa visasi inazidi kujengeka kwenye mioyo ya Watu wengi wanaoguswa na madhila haya ya vitendo vya utekaji na mauaji, utangamano wa kitaifa unazidi kupotea, uhasama mkubwa kati ya watawala na watawaliwa unazidi kushika kasi hapa nchini, watu wengi wanazidi kupoteza Imani na matumaini dhidi ya Serikali, kila mtu raia wa kawaida kwa Sasa wanaanza kuhisi kwamba adui yake mkubwa zaidi ni Serikali, naiona hatari kubwa sana ipo mbele yetu.
Hali siyo shwari kabisa kwa kweli.
Hii nchi ina mazombi wengi sana na utakuta wengine wana familia kabisa ni aibuNimesoma comment za mwanzo nikasema kweli tz mapoyoyo yamejaa kibao!??!.Mtu kapigwa kaumizwa.. kawtambua watu walio mfanyia unyama ule lakini hakuna hatua zinachukulia anaamua kupiga kelele..inatokea mbuzi mbulukenge mazafanta inasema ohooo dogo anapotea dah.....kweli tumelogwa.Hii nchi mtu anaweza akatuuza na hakuna atakaye sema lolote maama imejaa machizi yaan yanawogaaa na heshima za kipuuzi ....
Sikiliza wewe mtu, hali iliyopo siyo nzuri kabisa. Taharuki ni kubwa Sana, hofu imetanda Sana hususani kwa upande wa wale watu ambao wanalengwa Sana kwenye suala hili la kutakiwa kutekwa. Maisha ya Watu hao siku zote yapo hatarini Sana na wanahisi kwamba usalama wao upo hatarini na muda wowote wanaweza wakatekwa na kisha kuuawa. Katika hali kama hii, mtu wa namna hiyo huwa saikolojia yake kichwani unakuwa iko 'unstable' hivyo anaweza akafanya jambo lolote like baya kwa sababu anakuwa Hana cha kupoteza (completely he has nothing to lose in his life). Hatari ni kubwa sana.hakuna mwenye msuli wa kufanya hayo