Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Hata mimi nimeshangaa sana. Yaani kitu hamkijui kuhusu huyo dogo hana cha kupoteza kabisa nini hajakiona? Anyamaze kisa nini? kuna kitu watu wanashindwa kuelewa mtu ametesswa life yake iikuwa between life and deathShida tupu. Dogo kawatambua wauaji halafu watu wanajifanya hawataki kuambiwa kama huyu na huyu ndio wauaji wangu na wanaotekwa etii kisa kuogopa kupotezwa Watanzania kweli sisi wajinga sana.
Bora upinzani wangetuacha na maujinga yetu tu
Kama amevunja sheria apelekwe mahakaman ila sio kutishiwaAseme ila sio kutukana
"When injustice becomes law resistance becomes duty.""It is not enough to avoid injustice if you're not promoting justice" Pope Francis
Hao amabao wako tayari kumwaga ubongo wa watu nakuhakikishia hawataishi milele wote ni wapitajiWakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi. Unadhani anaweza shindana na mamlaka katika taifa hili lililojaa wahuni kwenye mamlaka? Ili kulinda hadhi na vyeo vyao wako tayari kumwaga ubongo wa mtu bila kusita..
Ogopa sana mtu anaepambania madaraka na cheo.
In my view, Sativa has nothing to lose because he has already lost each and everything during his abduction and when he kept into hostage.Wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi. Unadhani anaweza shindana na mamlaka katika taifa hili lililojaa wahuni kwenye mamlaka? Ili kulinda hadhi na vyeo vyao wako tayari kumwaga ubongo wa mtu bila kusita..
Ogopa sana mtu anaepambania madaraka na cheo.
Mfano sahivi utekaji hatuusikii tena hii ni kwa sababu ya kelele za sativa na watu wengine"When injustice becomes law resistance becomes duty."
Thomas Jefferson.
Therefore, Sativa is right in his activism of resisting brutality done by criminal Police Officers and other security agents of the brutal regime.
Upande wa Sativa yeye alishakufa. Msidhani anafanya asichokijua.Dogo kapoteza uelekeo huwezi kushindana na watu wazima Muliro jana kamprovoke dogo kama mzazi na dogo kaingia upepo vibaya mno
Wazazi jitahidini kukaa na vijana wenu muwafundishe ukakamavu namna ya kusema na kujibu watu wazima
Ndio maana nashangaa watu wanaodhani wanamuonea huruma. Wameshasahau amepita wapi.In my view, Sativa has nothing to lose because he has already lost each and everything during his abduction and when he kept into hostage.
Hana cha kupotezaUpande wa Sativa yeye alishakufa. Msidhani anafanya asichokijua.
Sativa amesaisia sana. Ile press ya Mbowe ili knock out kila kitu.Mfano sahivi utekaji hatuusikii tena hii ni kwa sababu ya kelele za sativa na watu wengine
Laiti watu wangekaa kimya mpaka sahivi ule utekaji ungekuta unaendelea
Wengi wanaongea hivyo hawajawah pitia tundu la kifo wengi ni wabinafsi na ndo tatizo kubwa la nchi hiiNdio maana nashangaa watu wanaodhani wanamuonea huruma. Wameshasahau amepita wapi.
Ukimuua usipomuua kwake yote ni sawa sawa.Hana cha kupoteza
Tz mtu akiwa na uhakika wa kula milo miwili tu basi hajali na hajui tena maumivu ya wenzake. Sio Nchi hii tu ni Afrika nzima.Wengi wanaongea hivyo hawajawah pitia tundu la kifo wengi ni wabinafsi na ndo tatizo kubwa la nchi hii
Ingekua ni mimi hata ile ela ya matibabu ya Rais ningeikataa haiwezekan serekali yako initeke alafu baadae unipe ela ya matibabu alafu siku mbili ulisema wanaotekwa ni drama mimi binafsi ningekataa na nisingekubali kuhojiwa na polisi ambao ni watuhumiwa wakwanzaUkimuua usipomuua kwake yote ni sawa sawa.
Kule Talibani Wamarekani waliamua kuondoka wenyewe.
Wakati Wamarekani wanapambana kulinda uhai na hadhi ya binadamu lakini Watalibani wao waliona kuishi. A kutoishi vyote ni sawa sawa.
Sasa kupamana na mtu kama huyu unakuwa unapoteza resources na muda wako bure. Over several decades US wakaamua wajiondokee tu.
Hatari sanaOgopa sana mtu anaepambania madaraka na cheo.
Tuna jamii ya hovyo sanaTz mtu akiwa na uhakika wa kula milo miwili tu basi hajali na hajui tena maumivu ya wenzake. Sio Nchi hii tu ni Afrika nzima.
Na ndio maana bara la hovyo lililobaki ni Afrika tu.
Jamaa Bado hawajamalizana naye cha kufanya ni atokomee nje ya East Africa kabisa.
We ukikaa kimya inatosha hatuwezi wote kukaa kimyaNOMA SANA...
Hivi akikaa kimya, maisha yakaendelea atapungukiwa nini?