Saud Arabia, UAE, USA na Israel Kushambulia Al Hudaida Yemen ili Kumuokoa Israel

Sasa kati ya Ayatola mmoja na wanajeshi 100 wa Irani, yupi unadhani akiuliwa dunia itatikisika?
Mkuu wewe sio mwanajeshi, ila vaa viatu vya mwanajeshi, kiongozi wako yupo Miami huko anakula bata, Mtoto wake yupo salama nyie kila siku mnapewa kichapo wenzenu wanakufa, lazima Morale iwe chini.

At same time wewe ni mwanajeshi ila kiongozi wako yupo Frontline anauliwa, Morale lazima iwe juu.

Just imagine hapo Gaza hawana Chochote kile wanatumia hadi mabomba ya maji kutengeneza silaha, kila kitu kinatengenezwa kienyeji, wamezungukwa kila upande then wanapigana na Jeshi linalosaidiwa na Taifa Tajiri zaidi Duniani kwa zaidi ya mwaka na bado wanapelekea Moto Balaa.
 
Yaani vita isingekuwa inazingatia misingi ya haki za binadamu, Palestina, Lebanon na Yemen kwa sasa zingekuwa zishafumuliwa...
 
Adui atabaki kuwa adui hata wimbo wao wa taifa la Israel unasema warabu ni madui zao. Vipi hawa Saud Arabia, UAE, Jordan, Egypt na Morocco wanawaona ni bora kuliko Hamasi na Hezbullah, ajabu sana hi dunia adui una
Hata wimbo wao wa Taifa la Israel unasema, waarabu ni maadui zao!

Halafu mshenzi mmoja aseme kuwekwe sijui mapatano sjiui mikataba ya Amani...!

Endeleeni kuamini hiyo kitu

Waraabu watapigwa mpaka wachakae
 
Hata wimbo wao wa Taifa la Israel unasema, waarabu ni maadui zao!

Halafu mshenzi mmoja aseme kuwekwe sijui mapatano sjiui mikataba ya Amani...!

Endeleeni kuamini hiyo kitu

Waraabu watapigwa mpaka wachakae
We hujui US anavyo tapa tapa kumukoa Israel kila mda ukienda Israel inazidi kudharaulika. US na UK walilipandikiza hilo taifa kwa agenda zao, wanaogopa lisipotee na mimi nasema Hezbullah, Hamasi, Yemen na Iran kamatieni hapo hapo msikubali kudangan'ywa na Qatar na Egypt.
 
Mimi sijawahi kuelewa concept ya ugaidi kabisa, mfano Israel ilisupport ISIS kumpindua Al Assad ila haikuitwa ugaidi, haya USA wana support waasi wa Libya hawaitwi kusponsor ugaidi same case US ili support Taliban kupambana na uvamizi wa Urusi 1970s ila haikuitwa kudhamini ugaidi. Achilia mbali USA ilisuppport Savimbi huko Angola, Ila muarabu akisponsor kikundi hicho hicho anaitwa Anasupport ugaidi.

Mbona ni kama kuna double standards
 
Hao Houth Toka USA awatwange na midege mipya sijawasikia tena miez mi2 sasa
 
Vipi kuhusu Israeli kuchukua maeneo ya Palestine nalo wanaribariki hao waarabu wanaoiunga mkono Israeli?
 
Vipi kuhusu Israeli kuchukua maeneo ya Palestine nalo wanaribariki hao waarabu wanaoiunga mkono Israeli?
 
Siku nyingine ukiona umeshiba sana jitahidi kufanya mazoezi ya nguvu kidogo.
 
Mimi naona Saud Arabia na UAE wanataka kupotezwa na US itakula kwao. Israel hatawasaidia kabisa maishani kwao. Adui atabaki kuwa adui hata wimbo wao wa taifa la Israel unasema warabu ni madui zao. Vipi hawa Saud Arabia, UAE, Jordan, Egy
Wewe Mswahili wa Ikwiriri ni kitu gani kinachokuuma wakati hao uadui wao ni wa kindugu.
 
Hizi ndo habari hua mnapeana baada ya kutoka kuswali shekhe?
Ina onekana we ni mmbobevu haswa wa masuala ya Mashariki ya mbali yaani Chambuzi
 
Hao Houth Toka USA awatwange na midege mipya sijawasikia tena miez mi2 sasa
Huwezi wasikia sababu husikilizi habari siku tatu nyuma wamezitia kiberiti meli tatu za mazayuni
Hizi ni hoja mfu, uchoko uliopamba moto Zanzibar na Mombasa napo ni Israel?
Hoja mfu sababu mnatetea kufirana lini ulisikia huko wanaeka gwaride lakusapoti uchoko na kufirana au bungeni kupitisha ndoa za kufirana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…